Mawaziri wa kenya na uganda nao walikuwa wanawasilisha bajeti zao leo
Kesho ni siku nzuri tutazipambanisha tuone nani mbabe east africa
Hii bajeti ni ya kumkandamiza mtanzania na si kumkomboa,kupandisha kodi ya mafuta ni kupandisha kila kitu
Mkuu wewe ni rafiki yangu sana, nakusomaga sana tu ujue! sema tunapishana tu kidogo, mi namtaka Makongoro we mwenzangu sijui hata unaangaliaje haya mambo mkuu, manake khaaa!! huko uliko sijii yaani
Hawajapandisha pombe na sigara maana uchumi utakuwa mgumu na wananchi watakuwa na frustration hivyo watajipoza kwa pombe wapoteze mawazo.
Bajeti imetulia
Kwani huyo anamtaka nani? Pinda au? Hata mimi na wewe hapa tumepishana ila ni siri yangu.
jamani kupandisha bei ya mafuta...
Fedha zote zitakazopatikana kwenye nyongeza ya tozo zinaenda REA. ....
KKTU: ulisahau tisheti