Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Inflation mwezi marfh ni 5.4% and shilling imapormoka by 24 percent since october!
 
Hawa pandishi hizo mana zinagusa wanywaji wengi na mwaka uu wa uchaguzi.

Mapato ya kodi yatokanayo na bia na vinywaji vikali yamepungua kwa mwaka huu wa fedha, inaonekana wanywaji waliweka mgomo baridi au vinginevyo, hivyo ule mzigo waliokuwa wakiubeba wanywaji mwaka ujao wa fedha utabebwa na wote. Hongereni wanywaji.
 
Asante kwa jibu lako zuri mito.
Hivi si tuliambiwa leo watakuwepo mawaziri wa fedha wa Kenya n.k imekuwaje? Mbona sijawaona au mimi ndio nimechelewa?
Lakini nimeanza kuangalia kuanzia saa 10 na nusu hivi.
nifah sikusikia kama mawaziri wa fedha wa kenya sijui uganda watakuwepo, ila nahisi si rahisi kuwepo kwa sababu siku hizi nchi za EAC (except Burundi) zinasoma budget zao ziku moja, so natagemea nao walikuwa wanasoma huko kwao
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa jibu lako zuri mito.
Hivi si tuliambiwa leo watakuwepo mawaziri wa fedha wa Kenya n.k imekuwaje? Mbona sijawaona au mimi ndio nimechelewa?
Lakini nimeanza kuangalia kuanzia saa 10 na nusu hivi.

Mawaziri wa kenya na uganda nao walikuwa wanawasilisha bajeti zao leo
Kesho ni siku nzuri tutazipambanisha tuone nani mbabe east africa
 
Last edited by a moderator:
Pamoja sana mkuu mito

Mkuu wewe ni rafiki yangu sana, nakusomaga sana tu ujue! sema tunapishana tu kidogo, mi namtaka Makongoro we mwenzangu sijui hata unaangaliaje haya mambo mkuu, manake khaaa!! huko uliko sijii yaani
 
bajeti hii ni muendelezo wa hadithi ile ile ya CCM. kila siku bajeti inasomwa kwa mbwembwe kubwa lakini haileti mabadiliko yoyote. hao ndio mafisi wa CCM zaidi ya unavyowafahamu.
 
Last edited by a moderator:
Mapato ya kodi yatokanayo na bia na vinywaji vikali yamepungua kwa mwaka huu wa fedha, inaonekana wanywaji waliweka mgomo baridi au vinginevyo, hivyo ule mzigo waliokuwa wakiubeba wanywaji mwaka ujao wa fedha utabebwa na wote. Hongereni wanywaji.

Ndio mi binafsi nilijiwekea limit ya kupata bia hahaha. kumbe tunaweza aisee
 
Magari yote ya Serikali sasa kukatiwa bima shirika la bima la taifa (NIC) ili kulifufua. Aiseee !
 
Ndugu wana jamvi nimesikitishwa kwa kitendo cha serikali kupandisha kodi ya mafuta ya taa kutoka sh 50 hadi 150 kwa kigezo kuwa wanadhibiti uchakachuaji je hii ni haki kweli? sheria zinatungwa ili iweje?
 
Back
Top Bottom