Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Mkuya: "Napendekeza kuongeza tozo kwenye mafuta ya Petrol na Disel kutoka shilingi 50 hadi 100 kwa lita
 
Tanzania ina ardhi kubwa sana ya kuweza kulisha the whole of east africa, for the past years kuingia kwa mchele wa nje kumeua sana wakulima wa zao la mchele.

Infact msimu wa 2014/215 mchele wakulima wengi wa mchele hawkulima baada ya mchele wa 2013/2014 bei kudoda kutoka na kuingizwa mchele mwingi toka nje

waziri amelisemea hilo kwenye kilimo.
 
Tanzania ina ardhi kubwa sana ya kuweza kulisha the whole of east africa, for the past years kuingia kwa mchele wa nje kumeua sana wakulima wa zao la mchele.

Infact msimu wa 2014/215 mchele wakulima wengi wa mchele hawkulima baada ya mchele wa 2013/2014 bei kudoda kutoka na kuingizwa mchele mwingi toka nje

asante mkuu hapo nimekupata. wamelinda soko la ndani.
 
Sasa tumeondokana na utegemezi wa walevi katika kuongeza mapato
 
Waliokuwa wanategemea kusikia sigara na pombe vikipanda ili waikosoe serikali hakika leo wamebaki wameduwaa
 
Mkuya: "Napendekeza kuongeza tozo kwenye mafuta ya taa toka sh. 50 hadi sh. 150 kwa lita kuzuia uchakachuaji
 
oh! kumbe!!
Sana tu mkuu. Nimewasikia wakiguma waliposikia waziri akisema kuwa wameongeza tozo ya diesel na petroli kutoka shilingi 50 hadi 100 kwa lita ambazo zitatumika kwenye REA
 
Back
Top Bottom