mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,031
Kwakweli hali inazidi kuwa mbaya.Hivi ni kwanini wameongeza tozo katika mambo hayo?
Kwa uelewa wangu ndo maeneo rahisi kuliko yote kupata kodi isiyo na longo longo, yaani ni maeneo rahisi kwa serikali kukusanya kodi, pamoja na makato ya kwenye mishahara ya wafanyakazi. So serikali nyingi (si kwa TZ tu) zinakimbiliaga maeneo hayo