Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Umesahau yule aliyejitambulisha kwa cheo cha Mwalimu, mwalimu gani mpuuzi vile? Anawehuka tu anarekebishwa bado anasingizia Wapinzani, yaani akili zake zote zinamtuma kuwa PAC ni kamati ya Upinzani, maskini alidhani PAC ni chama kipya cha upinzani haahahahahahaha tpaul sio mbunge wako kweli yule??
 
Last edited by a moderator:
Wakati anaongea huyu mama, mzee mmoja tuliekuwa tuna angalia naye TV alishindwa kabisa kuzuia hasira yake akasema" kama huyu angekuwa ni mke wangu ningekupa bure". Watu wakatia ayaaaaa!

Kha, mimi ningepigana huwezi kunipa takataka kama ile aiseee nikapokea
 
"Ni siye wakubwa...tulijua hili litatokea hvyo hatukuta kuacha nyayo..na haka kamtandao kenu mna bahati us wanakakingia kifua"
 
Msukuma wa Geita,akawa anazitumia kukodi chopa wa kiwa na Tibaijuka,eti kufuta nyayo za Kamanda Mdee kwenye ile oparesheni ya Bawacha kanda ya ziwa,ila walikuwa wakihudhuria watoto tu,jamaa akapotezea
 
Wakati anaongea huyu mama, mzee mmoja tuliekuwa tuna angalia naye TV alishindwa kabisa kuzuia hasira yake akasema" kama huyu angekuwa ni mke wangu ningekupa bure". Watu wakatia ayaaaaa!
.
HA ha haaaa.
Eti hayo ndiyo majembe ya ccm. Hukusikia kwamba chama ndicho kilichopeleka majina ya wachangaji kwa katibu wa bunge?
chezea ccm weye!
 
Hahahahahaaaaa muda ni Mwamuzi Mwaminifu asiye na upendeleo, atatujulisha tu akifika. Si mnafiki huyu
 
Wakati anaongea huyu mama, mzee mmoja tuliekuwa tuna angalia naye TV alishindwa kabisa kuzuia hasira yake akasema" kama huyu angekuwa ni mke wangu ningekupa bure". Watu wakatia ayaaaaa!

Hahaha huo ungekua msalaba wake mwenyewe.
 
PAC walidanganya.Bilioni 73 zilitumwa kwa TISS kwenda kwa account ya RUgemalira MKombozi benki kama sehemu ya mauzo yake kwa PAP.Mkombozi wameshatoa statement juu ya hili.Hakuna cha viroba wala rumbesa ilikuwa ni kuboresha a lie

nyie madogo mnaotumwa kusafisha watu late hour mnatia kinyaa,hivi unajua kama report ya PAC ni uchambuzi wa ripoti ya cag na pccb?
 
Umesahau yule aliyejitambulisha kwa cheo cha Mwalimu, mwalimu gani mpuuzi vile? Anawehuka tu anarekebishwa bado anasingizia Wapinzani, yaani akili zake zote zinamtuma kuwa PAC ni kamati ya Upinzani, maskini alidhani PAC ni chama kipya cha upinzani haahahahahahaha tpaul sio mbunge wako kweli yule??

Alisema pia namba ndogo ukitoa namba kubwa jibu lake ni sufuri, no wonder watoto wetu wanafeli huko mashuleni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom