Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, January 28

Tukutane hapa hapa saa kumi. Aluta continua, hadi kieleweke.
 
Nimeangalia Bunge,

Mh. Mbatia alikuwa anatoa hoja ya kujadiri kilichotokea jana. Baada ya Spika kutaka kujadiriwa kesho na serikali ipewe nafasi ya kutoa hoja, wapizani wamekataa. Spika akamua kuahirisha mpaka jioni. Ingawa hajaonyesha kama hoja hii itajadiriwa.

Spika amesea hii ni hoja kubwa na inatakiwa ipewe muda na amejadiri pamoja na Mh. Tundu Lissu na Mnyaa na kukubaliana kabla ya kuletwa na Mh. Mbatia.
 
...anyway! "twende hivyohivyo! na uovyo Ovyo! Nchi yenyewe ikwishaharibiwa!
 
Bunge limechafuka muda huu baada ya mh Mbatia kugusia maonevu ya polisi waliowafanyia wanachama wa chama cha CUF jana..bunge limeahirishwa ghafla mpaka saa kumi jioni,lakini pamoja na kuahirishwa kikao cha bunge mh. spika AMEKIRI KWAMBA SWALA HILO LISIJADILIWE LEO KWANI NI KUUUBWA MNOOOOOOO!!!!!!!!!
 
ha ha ha ha mbatia ashukuru sanaa uo ubunge aliopewa wakuteuliwa Lipumba umepata ulchokua unakitaka
 
Bunge limeahirishwa baada ya spika kukataa kujadili hoja ya Mbatia kuhusu polisi kuwapiga vibaya wafuasi wa CUF na mwenyekiti wao kinyama eti mpaka keshoo hivyo wapinzani wagangamalia hahahahaha hii nchi bwana vituko dairy
 
Mheshimiwa Mbatia ametoa hoja binafsi bunge liahirishwe lijadiliwe swala la uhuni uliofanywa na jeshi la polisi.
Spika ameiagiza serikali ilete majibu kesho ndio hilo suala lijadiliwe. UKAWA wamegoma.Sasa panachimbika bungeni.
WELDONE.
 
Mbatia naye aache ushabiki wa kisiasa. Polisi wamefanya kazi yao kutokana na ukaidi wa Lipumba

Wewe ni myu wa ajabu sana. Kwani kazi ya polisi ni kuipiga au kukamata!! Angepigwa mama yako wewe inge ongea huu ugoro?? Kama uliangalia Tv wale wayoto walio kuwa darasani walikosa nini hadi nao wapigwe mabomu!! Jaribuni kuwa na hisia za ubinadamu sio kila kitu ku comment negative. Huo ni upuuzi. Kenya juzi wamepiga watoto mabomu Waziri kaomba radhi dunia nzima nyie mnawa tumia polisi kukandamiza demokrasia mnaona mko sawa?? Nig ip UKAWA.
 
Spika kaliailisha Bunge asubui hii naada ya Wabunge wa Kambi Pinzani kusimama kushindikiza kujadili Hoja aliyoitoa Mbunge wa Kuteuliwa Mbatia,
Mbatia alisema Na Kuomba Kuahilishwa Kwa Bunge ili Kujadili Hoja ya Prof Lipumba Kukamatwa Jana Na Kisha Wafuasi wake Kukamatwa Jana.

Spika alisema kuwa Kesho watajadili Kwa sababu anataka Serikali ijibu pia kwanini Ilitokea hivo.
 

Attachments

  • 1422432522991.jpg
    1422432522991.jpg
    34.2 KB · Views: 769
Nipenda hii. Hakuna kususa na kutoka nnje. Kukomaa hadi kieleweke. Big up UKAWA, kuburuzwa basi.
 
Huu nimwanzo tu wa Serikali ya CCM chin ya kikwete kuanguka.

Nikwa muda mrefu wapinzani, wamepigwa na wanaendelea kupigwa na kuuwawa wakiwemo waandishi wa habari

Tanzania ya Jana na juzi sio ya leo, haiendeshwi kwa mabavu, vitisho na ukandamizaji.

Ni kwa kutii na kuukubari mfumo wa kuiacha democrasia ifanye kazi yake, watu wapewe haki zao zakidemokrasia.

Kinyume chake, tunaelekea kwenye machafuko ambayo kikwete na polisi wake wataikimbia nchi, wasome alama za

nyakiti na kukubali kuukubali ukweli. Kulazima, dharau na kiburi vitaiangusha ccm kabla ya uchaguzi october -

Kinachoendelea bungeni ni moshi tu, moto unakorea mitaani. Likizuka ndipo watafaham kwamba hakuna pakushika.
 
Naona Dalili Za Oct 2015 Siyo Nzuri Kama Polisi Wetu Hawatakuwa Na Uadilifu Ktk Majukumu Yao
 
Mambo mengine hayana umuhim bunge limekua dampo la kuzuliana maneno
 
Kwel Spika amepwaya kuliongoza bunge,
Mbatia ametumia hoja ya kuahirishwa kwa shughuli za bunge ili kujadili jambo la dharura na Spika amekubali nila dharura ila anaelekeza eti lijadiliwe kesho? more than stranger here!!
Tumia busara kidogo tu, wape wabunge nafasi ya kulijadili maana umeshakubali nila dharura na maswahi kwa taifa
 
Back
Top Bottom