" Upinzani ni sawa na mke mwenza hivyo tusitarajie waisifie CCM"- Madabida
Wewe ndo hamnazo kweli kweli...., kama hujasikia neno vyema, funga domo lako!
Lema amesema kama utakopo shilingi bilioni moja (1,000,000,000), utalipa liba ya zaidi ya shilingi milioni 200!
kuwa makini....
" Riba ya mikopo ya pembejeo kwa wakulima wa Tumbaku ipungue ili kuongeza tija ya Kilimo cha Tumbaku"-Mama Sita
Heading na kilichopo ndani ni tofauti kama ya mbingu na ardhi,hivi akili zenu huwa mnazisahau vitandani au?
" Wananchi wa dar pamoja na wapinzani wanaotumi bara bara kuandamana wamenituma nije kusema Leo"-Madabida
Hilo bunge... nadhani wasome budget tu ya MKuya na Mwigulu ambayo Lissu alishasema ni silly season manake hamna cha maana humo zaidi ya kupandisha kodi za mafuta, pombe na sigara!! Wasome hiyo budget kila mtu arudi jimboni kwake wasubirie hasira zetu..
Wanachofanya sasa hivi ni vituko tupu, Hivi mchango wa KIbajaji jana unaweza kusema huyo mtu analipwa posho kwa kutumia kodi zetu kweli?
" Nawakaribisha UKAWA waje kinondoni alafu wataona Habari yao"-Idd Azzan
katika watu hao waliojenga maabara wapo wanachama wa ccm nawa vyama mbali mbali vya upinzani na wasio wanachama wa chama chochote kile cha siasa,hvy kusema chama cha mapinduzi kimejenga maabara ni uongo na hadaa kubwa kwa wananchi.
" Hakuna watu wabaguzi kama UKAWA hasa CUF....pia CDM viongozi wotee wanatoka sehemu moja"-Chombo
Zungu anamuambia Lema afute maneno ya kumpongeza Jenerali wa jeshi aliyepindua huko burundi
" Tutakubali kuongozwa na watu wa kabila moja ama dini moja ili mradi watadeliver tu"-Lema
kweli wabubge wa chadema kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya waziri mkuu akisema haya.
Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli lema kilaza.
sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie
chanzo kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015
Huu ni mpango wa kuimaliza ccm kabisa" Kama kusafishana basi tuwasafishe mawaziri wotee....kwa sasa hali ilivyo kuna ubaguzi"- Lembeli