Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Mkosamali anampa taarifa Idd azan kuwa CCM haijajenga maabara bali watu masikini wamechangishwa kujenga maabara

katika watu hao waliojenga maabara wapo wanachama wa ccm nawa vyama mbali mbali vya upinzani na wasio wanachama wa chama chochote kile cha siasa,hvy kusema chama cha mapinduzi kimejenga maabara ni uongo na hadaa kubwa kwa wananchi.
 
Majadiliano kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ofisi ya waziri mkuu na Tamisemi yanaendelea.

Kwa asubuhi kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kama kawaida, Na ilipofika Saa nne Spika Makinda aliomba udhuru na kumuachia Mkt Zungu kuendelea na kikao.

Kwa sasa Mama Sita anachangia na hoja zake amezielekeza kwa walimu na masoko ya Tumbaku hasa katika jimbo la Urambo.

Karibuni

Naibu Spika yupo wapi siku hizi?
 
" Naipongeza Serikali yangu ya CCM kwa kujenga bara bara nyingi kwa kiwango cha lami"-Zarina Madabida

Huyu naye vipi inatakiwa aje DSM aone jinsi walivyoumbuka na hii mvua kwa lami nyingi kwenda na maji. Ilitakiwa kusema anaipongeza Serikali ya CCM kwa kujenga "barabara nyingi mbovu"
 
" Hakuna watu wabaguzi kama UKAWA hasa CUF....pia CDM viongozi wotee wanatoka sehemu moja"-Chombo
 
" Ukiona mbunge anaongea Habari za ukabila ama rangi huyo mtu ni wa kuogopwa"-Lema
 
" Ukisikia mtu anasema kuwa miaka kumi hii ameongoza muislamu basi atakayefuata ni mkristo basi MTU wa namna hiyo hana sense"- Lema
 
" Tutakubali kuongozwa na watu wa kabila moja ama dini moja ili mradi watadeliver tu"-Lema
 
Zungu anamuambia Lema afute maneno ya kumpongeza Jenerali wa jeshi aliyepindua huko burundi
 
Back
Top Bottom