Mnatumia nguvu sana kumtetea kilaza wenu Lema, lakini kuikweli ni hamnazo kabisa Lema.
Ni mke wa samweli sitta mkuu.Mama sita ndiye yupi? Au mke wa samuel sita?
Cc- hamy D
Selasini yuko vizuri. Ben Saanane jimbo la Rombo atalisikia redioni tu
Ikulu imeamua kusafisha watuhumiwa ngoja tuone huenda Chenge naye akaoshwa" Nilishtuka sana Serikali iliposema mawaziri wa operesheni TOKOMEZA hawana makosa...jambo hili ni baya sana"-Lembeli
Wenje ameanza kutema pumba sasa
Hivi Wenje ni Mtanzania au Mkenya? Uraia wake una utata
Dawa itawaingia taratibu
Hujaelewa anamnanga mida 8