Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

" Taifa hili lina wachuuzi na sio wawekezaji....hii inasababishwa na riba kubwa"-Lema
 
" Tukae tu wiki kuhakikisha pesa za bajeti iliyopita zinapatikana ...hii tunayoijadili sasa haitekelezeki"-Sakaya
 
" Stand ya ubungo ni adhabu kubwa kwa wasafiri....Serikali hamuoni adha hii"-Sakaya
 
" Suala la Serikali kuwasafisha mawaziri limeamsha machungu yoote ya Watanzania....ni aibu kubwa"-Sakaya
 
Keeling wabunge wa CHADEMA kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya Waziri Mkuu akisema haya.

Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli Lema kilaza.

Sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie

Chanel kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015.
 
Yaani hili bunge lingefaa liwe na wabunge haya mia tu maana ni wachache sana wanajua wajibu wao
~Kuna wabunge wanaongea tu hata akimaliza kuongea ukija kumuuliza hata hajui alikuwa anaongea nini
_Watanzania angalieni na wabunge manochagua jamani
 
huyu mama Sakaya ni mzuri sana,nafikiri anatakiwa awe mbunge wa jimbo kabisa na sio viti maalum
 
kweli wabubge wa chadema kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya waziri mkuu akisema haya.

Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli lema kilaza.

sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie

chanzo kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015
 
NAHISI WEWE NDIO KILAZA HESABU ZIMEKUPIGA CHENGA ......INGAWA sijaskia alichosema ila mabenk yanatoza riba asilimia 18 15 hadi 20 maana yake ni kuwa ukikopa milioni kama 9 ujue utawalipa kama milioni 11 hivi na ukikopa 1m utawakuja kuwalipa milioni kama 1.3 hayo ni mahesabu ya haraka ...sasa sijajua hoja yako
 
" Bara bara dar zotee zimeharibika kwa sababu ya mvua hivyo zinaleta shida kwa wananchi"-Madabida

" Naipongeza Serikali yangu ya CCM kwa kujenga bara bara nyingi kwa kiwango cha lami"-Zarina Madabida

" Misongamano ama foleni zimeongezeka Dar kwa kuwa bara bara za mchepuko hazifai"-Madabida
Hapa HOJA moja inakuwa na MAKENGEZA. Anapongeza NINI sasa kama kuna FOLENI Dar?
 
Ficha UPUMBAVU wako,usifiche HEKIMA yako
 
Back
Top Bottom