Cybercrime
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 3,246
- 1,113
Nimemsikia anasema Chadema ni chama cha Wachagga ila wapimwe kwa uadilifu wao. Mimi nasema nchi ipewe kabila lolote na siyo wachagga ni hatari sana.
" Naipongeza Serikali yangu ya CCM kwa kujenga bara bara nyingi kwa kiwango cha lami"-Zarina Madabida
" Misongamano ama foleni zimeongezeka Dar kwa kuwa bara bara za mchepuko hazifai"-Madabida
Hapa HOJA moja inakuwa na MAKENGEZA. Anapongeza NINI sasa kama kuna FOLENI Dar?
Wewe ndo hamnazo kweli kweli...., kama hujasikia neno vyema, funga domo lako!Keeling wabunge wa CHADEMA kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya Waziri Mkuu akisema haya.
Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli Lema kilaza.
Sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie
Chanel kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015.
Hata wale wa Milembe, wanatuona sisi wazima ndo vichaa...kweli wabubge wa chadema kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya waziri mkuu akisema haya.
Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli lema kilaza.
sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie
chanzo kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015
Mkuu kwani wewe haukumsikia Lema? Ndivyo alivyosema. Halafu akakiri kuwa Chadema ni chama cha wachagga ila wapimwe kwa uadilifu. Tatizo siyo kabila, tatizo ni kabila gani?Ficha UPUMBAVU wako,usifiche HEKIMA yako