Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Wewe ndo hamnazo kweli kweli...., kama hujasikia neno vyema, funga domo lako!
Lema amesema kama utakopo shilingi bilioni moja (1,000,000,000), utalipa liba ya zaidi ya shilingi milioni 200!
kuwa makini....

Wewe umemsikiliza Lema? Naona unaota wewe.
 
Unaona sasa, kumuita Lema kilaza ndio kumedhiirisha kabisa ukilaza wako, tena umepoteza muda na kabandle kako kuandika upuuzi wako!
Lema kasema Billion moja na sio milioni moja. 20% ya billion moja ni 200m.

Mnatumia nguvu sana kumtetea kilaza wenu Lema, lakini kuikweli ni hamnazo kabisa Lema.
 
" Kufundisha watoto kwa lugha ya kiswahili ni kumzuia kuaccess dunia"- Prof Kapuya

Naona unajimwaga tuu kama upo hewani, unanzisha mechi kama refa na kuamua humo humo kufunga magoli? Waachie na wengine wachangie.
 
Naona unajimwaga tuu kama upo hewani, unanzisha mechi kama refa na kuamua humo humo kufunga magoli? Waachie na wengine wachangie.

Mkuu hujakatazwa kuchangia....pia JF hakuna sheria inayomkataza muanzisha Uzi kutochangia.....where we dare to talk openly.
 
" CDM ni washindi katika jimbo la rombo kwa 58% katika uchaguzi wa Serikali za mitaa"-Selasini
 
" Viongozi wetu mpaka Leo hawajakabidhiwa ofisi na wamebambikiziwa kesi"- Selasini
 
Ulisikiliza kutumia masikio ya wale fisi wa Lumumba

Ni vema kutumia busara na kujishughulisha na masuala ambayo yatakusaidia wewe na jamii yako ni busara kuficha UPUMBAVU wako,usifiche HEKIMA yako. Wewe ndiyo walewale mnaokalia majungu kwa kuzungumza ya watu wakati ya kwako yamekushinda.

Pililpili usiyoila inakuwashia nini?
 
" Matatizo haya ya rombo yanafanana kabisa na matatizo ya Arumeru mashariki....na viongozi wotee wana kesi mahakamani"- Selasini
 
" Halmashauri iweke mambo yote wazi kabla ya kuchangishwa....watu wa rombo watachanga tu endapo halmashauri zitakuwa wazi kwenye mapato na matumizi"-Selasini
 
" Nawashikuru sana wananchi wa Mpanda mjini katika kipindi chote cha uongozi wangu"- Arfi
 
Majadiliano kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ofisi ya waziri mkuu na Tamisemi yanaendelea.

Kwa asubuhi kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kama kawaida, Na ilipofika Saa nne Spika Makinda aliomba udhuru na kumuachia Mkt Zungu kuendelea na kikao.

Kwa sasa Mama Sita anachangia na hoja zake amezielekeza kwa walimu na masoko ya Tumbaku hasa katika jimbo la Urambo.

Karibuni

Heading na kilichopo ndani ni tofauti kama ya mbingu na ardhi,hivi akili zenu huwa mnazisahau vitandani au?
 
" Naunga mkono mapendekezo ya kamati ya Tamisemi inayoongozwa na Kigwangala"-Arfi
 
Back
Top Bottom