kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,636
- 2,885
Utani mbaya, Kigoma walichagua wabunge ....wanajitahidi kwa kweli
kweli wabunge wao wote wa nccr mageuzi wanajitahidi sana kwa kweli.
Utani mbaya, Kigoma walichagua wabunge ....wanajitahidi kwa kweli
Keeling wabunge wa CHADEMA kilaza, leo hii nimemshuhudia Lema kwa macho na kumsikia kwa masikio yangu kupitia TBC Live, akichangia hotuba ya Waziri Mkuu akisema haya.
Lema alikuwa anazungumzia riba kubwa za mabenki na kufikia kusema kuwa mtu anayekopa benki milioni moja anatakiwa kulipa riba ya asilimia 18 mpaka 22, kwa hesabu zake lema ukikopa milioni moja utalipa milioni 200, kweli Lema kilaza.
Sijui hii hesabu ya wapi labda bavicha mtusaidie
Chanel kipindi cha bunge TBC live 14/5/2015.
Sasa hapo juu alipongeza serikali kwa kujenga Barabara zisizokuwa na kiwanga?
ni kweli lakinikweli wabunge wao wote wa nccr mageuzi wanajitahidi sana kwa kweli.
Men lie, Women lie, numbers dont lie - S U G U
''Mipango na Mikakati imekamilika na sasa tuko kwenye mchakato wa mazungumzo na wafadhili"- M Pinda
I like this:drama:
Hivi Wenje ni Mtanzania au Mkenya? Uraia wake una utata
Nimewaona Sugu, Nassary ,Lema mchana huu wanakunywa bia Palm Desert Area C .
Kwa hiyo?Nimewaona Sugu, Nassary ,Lema mchana huu wanakunywa bia Palm Desert Area C .
Kwa hiyo?
So what?
We unaona sawa kunywa bia muda wa kazi?
Wako Dodoma kuwakilisha wananchi au kunywa bia?
Nimewaona Sugu, Nassary ,Lema mchana huu wanakunywa bia Palm Desert Area C .
Wewe ulitaka wanywe maziwa?
Uchangudoa wako umeupeleka Dodoma? Hakika wewe ni mtafutaji wa ukweli. Changamka maana jamaa watapokea kiinua mgongo nawe waweza kutokea hapohapo ukaachana na biashara ya buku7 ili nasi jf tupate ahueni kidogoNimewaona Sugu, Nassary ,Lema mchana huu wanakunywa bia Palm Desert Area C .