Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Bunge letu limesahau wajibu wake kama chombo cha wananchi na si serikali.Sasa bunge limekuwa sehemu ya wabunge kujibiana.Unakuta mbunge amempania mwenzake na mwenyekiti anamwambia kaa chini si utamjibu baadae jioni utapata muda!.

Wabunge wa ccm ni hatari kwa maendeleo ya nchi hii,siri hii mjue serikali yoyote ile inapenda kugawa bunge ili iweze kujificha!.So wabunge wa ccm mmeingia choo cha kike.
 
Zungu anasema pande zotee mbili zivumiliane vijembe wanavyopeana


Mkuu mcubic hongera sana kwa updates za mjengoni, wanaokunanga wapotezee na uendelee kutugawia hizo updates.
 
Last edited by a moderator:
Dah! Nimemuona huyu mama akichangia, kuna namna nyingi ya kufikisha ujumbe in a decent way esp kwa mama kama yeye.
 
Mama mtu mzima alafu hana hoja za muhimu kabisa alafu leo nimegundua kumbe huwa wanapita humu jamii forum yani yote aliyoyasema amecopy na kupaste humu
 
Huyu mother bure kabisa!!

ametumia dakika zote kushambulia watu tu!!

Leo Nashusha mistari tu hapa heee Biblia Takatifu
Aliyeko karibu na Chatanda ampe hii
Kitabu cha Mithali 9:6-18
6 Enyi wajinga, acheni ujinga, mkaishi, Mkaende katika njia ya ufahamu.
7 Amkemeaye mwenye dharau hujipatia fedheha; Amkaripiaye mtu mbaya hujipatia aibu.
8 Usimkaripie mwenye dharau, asije akakuchukia; Mkaripie mwenye hekima, naye atakupenda.
9 Mwelimishe mwenye hekima, naye atazidi kuwa na hekima; Mfundishe mwenye haki, naye atazidi kuwa na elimu;
10 Kumcha Bwana ni mwanzo wa hekima; Na kumjua Mtakatifu ni ufahamu.
11 Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.
12 Kama una hekima, una hekima kwa nafsi yako; Na kama una dharau, utaichukua peke yako.
13 Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.
14 Hukaa mlangoni pa nyumba yake, Juu ya kiti mahali pa mjini palipoinuka,
15 Apate kuwaita wapitao njiani, Waendao moja kwa moja katika njia zao.
16 Kila aliye mjinga na aingie humu. Tena amwambia mtu aliyepungukiwa na akili,
17 Maji yaliyoibiwa ni matamu, Na mkate ulioliwa kwa siri hupendeza.
18 Lakini huyo hajui ya kuwa wafu wamo humo; Ya kuwa wageni wake wamo chini kuzimuni.

Hilo sio mimi ni maandiko
Poleni wenye shingo ngumu
 
basi mi nilikua najua ni demu mkaliiii kumbe ni kibibi kizeee fulani hivi, hahahaah Sugu kawamaliza "eti CCM wamepaniki"
 
Huyu mama ni mwanamke wa fujo mno kwani alisababisha mauaji Arusha mwaka 2011; Leo tena anavuruga bunge kwa kuleta mipasho ya mitaani bungeni . Hana hoja zaidi ya kuwasema wenzake na bado anapewa muda muhimu wa bunge. Sijui atasema amesimama kusema nini?

Hebu tupia picha yake nione kama ndio ninayemhisi
 
Huyu naye vipi inatakiwa aje DSM aone jinsi walivyoumbuka na hii mvua kwa lami nyingi kwenda na maji. Ilitakiwa kusema anaipongeza Serikali ya CCM kwa kujenga "barabara nyingi mbovu"

Wenje ameziita disposable road.
 
Au ni yule wa B'moyo mwenye miaka 60 aliyefunga ndoa na kijana wa 27 yrs kwa mulima wa moto michokeni
 
jamani fungukeni, amefanyaje/ amesemaje huyu maza, wenzenu hatuna TV hapa tulipo - just tell what happened?

Mary ametia aibuuuuu

Mama mtu mzima alafu hana hoja za muhimu kabisa alafu leo nimegundua kumbe huwa wanapita humu jamii forum yani yote aliyoyasema amecopy na kupaste humu

Dah! Nimemuona huyu mama akichangia, kuna namna nyingi ya kufikisha ujumbe in a decent way esp kwa mama kama yeye.

Nami nimesmhangaa sana huyu mama, ndio maana Mh. Mbilinyi kasema hawezi kuchangia lolote kwenye bajeti maana aliyoyachangia miaka mitano hayajafanyika yatawezekanake kwa miezi minne!

Huyu mama ni mwanamke wa fujo mno kwani alisababisha mauaji Arusha mwaka 2011; Leo tena anavuruga bunge kwa kuleta mipasho ya mitaani bungeni . Hana hoja zaidi ya kuwasema wenzake na bado anapewa muda muhimu wa bunge. Sijui atasema amesimama kusema nini?
 
Amesema kitu gani? Na sisi tunataka tushiriki mjadala hatukuangalia Tv
 
Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (SUGU) akichangia bungeni leo amesema wabunge na viongozi wa ccm wamepaniki na hawajui walifanyalo katika kipindi cha kuelekea Octoba kwenye uchaguzi mkuu,na akaendelea kusema wananchi wamejiandaa kuiangusha ccm katika sanduku la kura na iwapo SERIKALI IMEEAGIZA MAGARI YA POLISI 700 YANAYOTUMIWA KUMWAGA MAJI YANAYOWASHA KWA WANANCHI IWAPO WATAANDAMANA KAMA UCHAKACHUAJI WA KURA ZA UKAWA UTATOKEA BASI KATI YA HAYO 500 WAYAPELEKE MBEYA maana wao wanajua jinsi ya kuyafanya😡
 
Wabunge wa ccm wamechanganyikiwa kabisa hawana hoja zaidi ya vijembe
 
Back
Top Bottom