Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

Binafsi siiungi mkono hoja ya kutumia kiswahili mashuleni kwa sababu alizotaja lakini kubwa zaidi hatuna uchumi wa kuweza kuajiri watu wetu wote hivyo lugha na taaluma zingesaidia sana kuwatafutia raia wetu ajira nje ya nchi. Zipo nchi zinatafuta wataalamu zikiwemo canada, sudan, rwanda na zinginezo. Tunakoelekea mtaalamu unatakiwa ujue lugha za kimataifa zisizopungua 3 ili kupanua soko la ajira
 
Tanzania ingekuwa ni korea basi waziri wa Jk yangewakuta yalitokea korea waziri wa ulinzi kupigwa risasi kwa kusinzia mbele ya raisi .nasssari

Ahsante mkuu...endelea kutupatia mambo ya mjengoni....hii ndio raha ya JF
 
Serikali ya ccm mlikuwa na mpango wa kujiongezea muda kwa hali kama hii msitegemea tutavumilia tena .nassari
 
Serikali ya ccm mbunge wa upinzani akiagiza ambulance kutoa bandari inakuwa ni tatizo.Nassari
 
Maeneo mengi ya kijijini yameshapata umeme .mbunge wa mpwapwa
 
Hawa wabunge wa ccm ni majanga kweli,huyu mbunge anaongea kama waziri
 
Serikali ya ccm mmeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka 5 wananchi mnatakiwa kuwapima viongozi wa ccm kwa miaka mitano wamewafanyia nini .Susan
 
Kituo cha polisi kilombero polisi wanaogelea kwenda kituoni mmeshindwa lazima muondoke .susann
 
Mahakama kilombero hamna makarani mmeshindwa kuwalipa mshahara mmeshindwa lazima muondoke serikali ya ccm .susan
 
Serikali ya ccm mmeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka 5 wananchi mnatakiwa kuwapima viongozi wa ccm kwa miaka mitano wamewafanyia nini .Susan

Yeye sus.an amefanya nini, kazi ya upinzani siyo kukosoa tu bali kila mtu anatakiwa kuwajibika kwa nafasi
 
Tanzania mnatakiwa kuondoka haraka kiboko yenu octoba mnatakiwa kuondoka mmeshindwa.susan
 
Back
Top Bottom