Yaliyojiri Bunge la Bajeti Dodoma Mei 14, 2015

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba ametaka Serikali isafishe viongozi wengine waliojiuzulu katika kashfa mbalimbali, ikiwemo ya Richmond, baada ya kutoa kauli ya kusafisha viongozi waliojiuzulu katikakashfa maarufu za Escrow na Operesheni Tokomeza.Serukamba alikuwa akihoji kauli ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, iliyoeleza kuwa baadhi ya viongozi waliohusika katika kashfa hizo, hawakuwa na hatia na hivyo walijiuzulu kisiasa.Akizungumza bungeni jana kuchangia hotuba ya makadirio ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Serukamba alisema kitendo cha Serikali kumsafisha aliyekuwa Waziri wa Nishatina Madini, Profesa Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Eliakim Maswi, hakikutenda haki na ni ubaguzi.Alisema kama watendaji waliotoa fedha hizo zaidi Sh bilioni 200 kutokailiyokuwa akaunti ya Tegeta Escrow katika Benki Kuu hawakuwa na hatia,maana yake muamala huo ulikuwa sahihi na hivyo aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, hakuwa na hatia.Aliendelea kuhoji kosa la Mbunge waBariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), aliyeondolewa katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, na kutaka Spika wa Bunge, Anne Makinda, amrejeshe katika nafasi hiyo.“Walijiuzulu kina Karamagi (aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Nazir katika kashfa ya Richmond) Waziri Mkuu (Edward Lowassa, kashfa ya Richmond), mbona hamkuunda kamati na kueleza ilikuwaje. “Mimi sipingi kuwasafisha, lakini mnaishia nusu?Akina Mwambalaswa (Mbunge wa Lupa, Victor) wameondolewa katika nafasi zao (mjumbe wa Bodi ya Tanesco) kwa nini hamuwasafishi? Werema (aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali), aliondoka kwa sababu gani?” Alihoji.Akifafanua hoja hiyo, Mwambalaswa alisema yeye hahitaji kutetewa na mtu kwa kuwa amewajibika kisiasa kwa kutoka katika nafasi ya mjumbe wa Bodi ya Shirika laUmeme (Tanesco), japo wakati wa vikao vilivyohusu fedha za Escrow, hakuwepo.“Mimi sihitaji kusafishwa kwa kuwa sina tope popote,” aliendelea Kufafanua...

Chanzo : Habari leo
 
Ni kujidanganya, CCM ni sawa na nyama ya utumbo. Hata ukishinda ziwani unausafisha, kamwe hausafishiki.
 
Spika anamwita kwa jina la "Sugu" , sijui
a. .k. a.. iko rasmi. Mbilinyi is a very clever boy. Kasome kitabu chake. Nimemeskia live vijembe vyake viko intel sana.
 
Wewe kilaza, asilimia 18 au 20 ni riba ya hiyo million. Riba hapatikani kwa kuzidisha million * 18,unagawanya kwa formula maalumu. Sod!

Furmla ip hiyo au wew ndo kilaza number moja . Ip unazungumzia sasa simple intrest /compound intrest

I= PRT/100 : lets us take Rate as an avarage of 20%

1000000*20*1/100= 200000 tsh
Kwa hiyo ukikopa 1m utapaswa kulipa 1.2ml . Milion moja laki mbili
Ukikopa 1b utarudisha 1.2 b billion 1na million 200 .
 
NAHISI WEWE NDIO KILAZA HESABU ZIMEKUPIGA CHENGA ......INGAWA sijaskia alichosema ila mabenk yanatoza riba asilimia 18 15 hadi 20 maana yake ni kuwa ukikopa milioni kama 9 ujue utawalipa kama milioni 11 hivi na ukikopa 1m utawakuja kuwalipa milioni kama 1.3 hayo ni mahesabu ya haraka ...sasa sijajua hoja yako
Hayo ni matatizo ya kukurupuka. Amegundua kuwa wabunge wake hawana hoja zaidi ya kusifia barabara za lami tu, sasa anatafuta mahali pa kupumulia. Barabara za lami hata aje nana zitajengwa tu hiyo ni mipango endelevu na inasimamiwa na wizara ambayo sio chama.
 
ni hukweli usiopingika sera ya elimu nchini ni majanga na bomu linalosubiri kulipuka,haswa sera ya kutumia lugha ya kiswahili kufundishia,akichangia bajeti ya ofisi ya waziri mkuu,mapema leo asubui;

aliyekuwa waziri wa utamaduni kipindi cha mh mkapa,prof juma kapuya aliitaadharisha serikali juu ya sera ya kiswahili kutumiwa kufundishia mashuleni,kwamba ni janga ambalo litakuja kuliangamiza taifa hapo baadae,

akitoa sababu ambazo mimi niliziona zinamsingi sana kwa mstakabali wa baadae wa taifa hili,juu ya hajira,uchumi,na maendeleo,

ni kweli kabisa kiswahili ndio lugha ya taifa lakini ni vyema serikali ikawa makini na sera hambazo zitakuja kulifanya taifa liwe la watu mbumbumbu na wenye kushindwa na wageni,ni vyema serikali ikaandaa sera nzuri za helimu ili kuwaandaa watanzania na kuwapa elimu itakayo waletea tija hapo baadaye,

ni ukweli usiopingika kwamba serikali ya awamu ya kwanza kuondoa kiingereza kwenye sera ya elimu ya taifa,imeleta madhara makubwa sana kwa watanzania,na sasa inalazimika watanzania wenye uwezo kuwapeleka watoto wao kwenye shule za kulipia kutokana na kuwaandaa watoto wao kwa maisha ya baadae ya lugha na teknolojia,

inashangaza kuona waziri au serikali wakitunga sera ya kiswahili halafu watoto wao wanawasomesha shule za kulipia! sasa hapa ni kutengeneza tabaka la watawala na watawaliwa,

hai hingii hakilini mnakataa lugha ya kingereza kufundishwa mashuleni halafu mnatunga sheria za nchi kwa lugha ya kiingereza!!!!! uhu ni uhuni kabisa yaani mnatoa fursa ya kuwafanya watanzania wazidi kuwa wajinga ili wasiwe na uhelewa wa kuzitambua haki zao kwa kutokujua tafsiri ya lugha za kigeni?

leo taifa kama china limejua hasara kama taifa lilivyopata kwa kukumbatia sera kama hizi kwa ukupiga marufuku lugha za kigeni mashuleni kwao,lakini sasa wamechukua hatua kwa kuwafundisha watu wao wajue lugha za kigeni kwa kuwa sasa taifa limepiga hatua kwenye uwekezaji na kibiashara nje ya nchi zao na wakagundua tatizo kubwa ni ukosefu wa ufahamu wa lugha.

leo ihi mtanzania wa darasa la saba au kidato cha sita aende maali na mkenya au mganda kuomba hajira mtanzania ataachwa,na mkenya na mganda wa darasa la saba kwa sababu ya lugha,

sasa serikali isijifanye mjamaa sana kwa kuwanyima watanzania haki yao ya kupata maarifa hambayo dunia nzima inajua nini maana ya lugha ya kingereza,au serikali inawaandaa watanzania kuzunguka hapa hapa nchini na sio kuwaandaa kwenda popote na kufanikiwa?

mimi katika maisha yangu nilishapiga marufuku watoto wangu kuwasomesha kwenye shule za serikali,kutokana na sera mbovu za kuwaandaa watoto vizuri kichwani,leo unamkuta mtanzania anaipenda na kuishabikia miziki ya nje lakini hajui ni nini kinaimbwa ndani ya ile miziki? ni ushetani kabisa na mimi siwalahumu watanzania hayo ni mazao ya sera mbovu za kuwanyima watanzania ufahamu wa lugha,

huku viongozi wakisomesha watoto wao kwenye shule za mapesa mengi?tuache siasa kwenye swala la helimu tusicheze na maisha ya watanzania tukiji nasibu na malugha ya ulaghai laghai ya [BRn] heti matokeo makubwa sasa mimi niseme hivi hiyo itakua ujinga mkubwa sasa
hembu tuwatendee haki hawa watanzania na tuache kucheza na maisha ya baadae ya watanzania,

sawa, naona wanaendelea kuvuragana, hata kama wanasema ukweli....
 
Tanzania ingekuwa ni korea basi waziri wa Jk yangewakuta yalitokea korea waziri wa ulinzi kupigwa risasi kwa kusinzia mbele ya raisi .nasssari
 
Tanzania ni nchi waziri wa utalii anaenda kula raha nje na msanii na kupiga picha na wanawake na mbwa kizungu .nassari
 
Back
Top Bottom