Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Sugu amemtelekeza mke wake mama sasha.
Mambo ya kumtekeleza mke yanakuhusu nini au unataka kuolewa wewe
Sugu amemtelekeza mke wake mama sasha.
Huyu mother anaipongeZa Govt then analalamika mafuriko
Sugu mavazi yake na uongea yake ni uhuni mtupu
Sugu bangi zinamfanya aropoke hovyo
" Hakuna watu wabaguzi kama UKAWA hasa CUF....pia CDM viongozi wotee wanatoka sehemu moja"-Chombo
Utani mbaya, Kigoma walichagua wabunge ....wanajitahidi kwa kwelihuwa namuhusudu sana Felix Mkosamali
Wewe umemsikiliza Lema? Naona unaota wewe.