Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

Polisi mmoja nilimuona moshi kapita kapanda mkokoteni kama kibaka anasema "wera wera, tupo pamoja"
 
Sijui kinachowachelewesha huko motuary. Kuna chalii mmoja anayo ile bendera ya kwanza kabisa (ile ya Edwin mtei na bob makani) anapanda na kushuka hapa langoni akitroti, amekuwa kivutio cha nguvu
 
Sijui kinachowachelewesha huko motuary. Kuna chalii mmoja anayo ile bendera ya kwanza kabisa (ile ya Edwin mtei na bob makani) anapanda na kushuka hapa langoni akitroti, amekuwa kivutio cha nguvu

Mkuu nashukuru sana natumaini muda si mrefu mtatoka hapo mortuary
 
Jamani mlioko eneo la tukio tunaomba mtuhabarishe kila hatua ili nasi tuwe tumeshiriki pamoja nanyi, UWALAZE PEMA PEPONI MASHUJAA WETU
 
Vipi leo intelijensia ya IGP MWEMA inasemaje leo? hakutakua na ghasia? au leo kwema? wajinga kweli hawa!!
 
huu uwanjani hautatosha maana mpaka sasa uko full.. Na bado watu wanazi kumiminika..viongozi wa dini wameshafika pia mtei, rwakatale , wabunge wa arusha wamejipanga kupokea wageni



Mzee tumebanwa sana kazini, tunaomba uzidi kutupa update paomja na picha.
Vipi askari leo hawapo?
 
Siyo kwamba polisi wote wanaipenda ccm au serikali iliyopo, wengi huwa wanalazimishwa kufanya vitendo vya kidhalimu na kisha kupewe posho kidogo au kuahidiwa vyeo hewa

Ni kweli Major, lakini lazima wajifunze kutambua mambo wanayoyafanya kuwa baadae yana impact gani
 
Mungu baba hawa ni watu wapekee tunawaleta mbele zako kwa kilio na majonzi makubwa kwaniwameifia Nchi yetu inayoangamia na kuliwa na wachache.Tunawaombea ee Baba Mungu uziweke roho za wanao hawa mahali pena peponi.AMEN
Natamani ningelikuwepo hapo nibebe hata hayo majeneza kuonyesha mchango wangu na machungu niliyo nayo kwani hasira hii nilitakiwa nikaionyeshe kwa mafisadi.Tunaomba taarifa zaidi PLEASE...Tujulisheni pia kama kuna uwakilishi toka serikslini au chama cha mafisadi.:Cry:
 
Back
Top Bottom