Yaliyojiri Arusha katika mazishi ya waliouliwa na Polisi

Vipi leo intelijensia ya IGP MWEMA inasemaje leo? hakutakua na ghasia? au leo kwema? wajinga kweli hawa!!

Intelijensia feki waone kama leo wanaweza kusogeza pua zao hapo maana watu wana hasira sana nao hawa watu
 
Mabalozi wa nchi zote wamelaani mauaji yaliyofanywa na polisi. Wamesema, Jeshi la polisi ni lazima wafundishwe upya na kueleweshwa maana ya kutumia risasi za moto. MWEMA TUMBO JOTO HAPATI USINGIZI, Ina maanisha nafasi aliyonayo siyo saizi yake, ni ya kupewa kiushemegi shemegi.
 
hata wasipokuja haina tatizo, la muhimu ni kushiriki ktk kuwaaga mashujaa wetu hao,na pia tuienzi damu yao kvetea haki na kuhakikisha ukombozi wa kweli wa mtanganyika unapatikana.
 
Mabalozi wa nchi zote wamelaani mauaji yaliyofanywa na polisi. Wamesema, Jeshi la polisi ni lazima wafundishwe upya na kueleweshwa maana ya kutumia risasi za moto. MWEMA TUMBO JOTO HAPATI USINGIZI, Ina maanisha nafasi aliyonayo siyo saizi yake, ni ya kupewa kiushemegi shemegi.

Lazima imuume na sijui kama Mwema hapo alipo anajisikia vizuri kwa yaliyofanywa na askari wake huko Arusha because its the PAIN IN THE ASS
 
Jamani nini kinaendelea huko GURUDUMU na MFWATILIAJI watu wameishatoka mortuary????
 
watu wamejaa haijawahi kutokea kama unafahamu uwanja wa nmc ulipo.watu wamejaa hadi ilipo bank ya crdb hakuna nafasi watu ndo tunasubiria miili ya mashujaa kumepabwa vizuri mc anaendelea kuwapa wananchi ratiba

Kev, machozi yamenitoka kwa picha pia uliyochora (Nafahamu CRDB ilipo). Natamani ningekuwa hapo. wadau, tutumie picha za hii shughuli ya kihistoria sisi tulioko shamba.

Aluta continua!
Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CDM.
 
We must be humble enough to recognize that we are not the center of the universe, but faithful enough to know that God frequently acts as though we are.
 
Nafarijika sana wanaARUSHA kuungana kwa pamoja kuwazika wanaharakati wetu huku nyimbo za kina Sarafina za kule Soweto zikihamasisha kuwa na moyo wa ujasiri katika kudai haki.
RIP wapendwa wetu!!
 
Natamani ningekuwa naona yani hapa mwili unanisisimka ile mbaya nihuzuni lakini hatasielewi kwanini na kuwa hivi natamani nipae hapa nilipo songea nifike hapo. Tupeni latest jamani mlioko arusha.
 
Ndugu zangu PakaJimmy na Saharavoice nategemea pia kupata updates kutoka kwenu pia kinachojiri huko.
 
Mungu awepe furaha na mwanga wa milele uwaangazie mshujaa wetu,daima mtakumbukwa nasi wengine tuko pamoja katika ukobozi wa Taifa letu,tuko nanyi mashujaa wetu kiroho,
 
Inasemekana serikali iko kwenye sherehe za mapinduzi ya zanzibar lakini akili na masikio viko Arusha - Siku ya mapinduzi arusha, mapinduzi ya kumrejeshea MTZ haki na raslimali zake
 
Hospitali na aicc ndo kumeshona, lakini Amani imetawala. Pikipiki nyingi sana magari machache.
 
Tupeni update wadau , je miili ya wapendwa wetu , ilishotoka hospitali?
 
Back
Top Bottom