Mfwatiliaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 1,323
- 67
Waombolezaji wenzangu, tungefarijika kama mngetuhabarisha shughuli ya mazishi ya mashujaa wetu inavyoendelea hapo Arusha kwani saa 4 asubuhi imekaribia.
MSIBA: Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe, akiwa pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, wakibeba mwili wa marehemu Ismail Omar ambaye alifariki januari 5 mwaka huu kwa kupigwa risasi na polisi akiwa katika maandamano ya CHADEMA mjini Arusha. Marehemu alizikwa leo Usa river baada ya kuagwa viwanja vya NMC mjini Arusha.
More photos: