Yaliyofanikishwa na Dr Dorothy Gwajima ndani ya wiki chache pale Wizara ya Afya

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA

Mwambie wananchi wanataka kuona matokeo ya vitendo na aache tabia ya kutembea na huo mtandio wa bendera ya Taifa otherwise na yeye ataonekana kama wakina Kangi Lugora!!! So far so good let her be herself; aachane na mambo ya kuiga ya kuonesha uzalendo kwa mavazi, it is superficial and unimpressive!!
 
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD

2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.

3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii

4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu

5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.

6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati

7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba

8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.

9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.
10-Hivi karibuni huduma za afya zitaanza kulipiwa kama maji na luku kupitia MPESA,AIRTEL MONEY N.K
11-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.KILIO KINATOKA WAPI??

HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO

USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!

ITAENDELEA...

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
In leadership, personality and style cannot be separated from issues, it is also an issue.

We can chew gum and walk, this is not a mutually exclusive equation.

A minister can and should perform excellently without needlessly berating the innocent in a fascisistic Queen Bee manner.
 
I have never seen her intimidating a professional with sound conducts!...I have made a follow up on her through out from managing The District to OR TAMISEMI.No records can be found to explain that she has ever intimidated her subordibates rather she is amongnst inspirational haelth personalities in the past decade.
none among the innocent health professionals has sufferred from her words or acts rather she has been the school of new sustainable thoughts /innovations in streghthening the health sector.
TUSIMOENEE WALA KUMUONEA WIVU
 
I wonder if you're not in the healthcare system!
 
Of course.You have low standards.
 
hakika yatakaa sawa.maana walikuwa wakiambiwa wanaanzisha majungu sasa hakuna pa kupeleka majungu.

Wamepiga sana na sasa ni lazima waambiwe ukweli
Uonezi na upigaji ndio kazi yao wengi
Nyodo ziwaishe maana wengine utu uliwatoka kabisa
Yaani acha awaumbue tu maana mtu mweusi hana aibu ila anaogopa
 
Ngoja watetea majizi na mafisadi chadema waje.

Sasa hivi badala ya kujihoji kwa nini Chadema imekufa kila mahali ,wako bize kumzuia waziri Dr Gwajima asitimize majukumu yake.
Wewe ni mpumbafu wa wapumbafu
 
1-Fedha za dawa awamu ya kwanza zimeingia MSD

2-Ameyaamsha mabaraza ya kiataaluma ambayo yalikuwa yanakusanya fedha tu kutoka kwa wataalamu bila kutekeleza majukumu yao kikamilifu.kwa mara ya kwanza nimeona wasajili wa mabaraza ya kitaaluma wakianza kujiwajibisha.

3-Amewezesha viongozi wakuu mfano Jaffo na Waziri mkuu kutoa maagizo kuhusu bima ya afya ya jamii

4 -Ameiweka sekta ya afya kwenye media/jamii ikaanza kuongelewa kama sekta ya elimu

5-Ameonesha roles za wakurugenzi,waweka hazina,wakaguzi wa ndani, maafisa maendeleo ya jamii, ma IT, jamii n.k katika kuiboresha sekta ya afya.

6-Ameboresha mfumo wa ushughulikiaji kero ndogo ndogo za jamii katika afya kwa wakati

7-Ameiamsha MSD katika kusaka muarubaini wa ukosefu wa vifaa tiba

8-Amewanyoosha wanaojipigia fedha za miradi mfano kuwakataza wasiende kihokela mikoani badala yake wamobilize na kucoordinate hizo resources ili kufanya usimamizi wenye matokeo.

9-Amehimiza uwajibikaji wa wataalamu kwa kutumia miongozo iliyopo.
10-Hivi karibuni huduma za afya zitaanza kulipiwa kama maji na luku kupitia MPESA,AIRTEL MONEY N.K
11-HAJATUMBUA ASIYE NA KOSA.KILIO KINATOKA WAPI??

HAYA MACHACHE LAZIMA YAAMSHE JOTO

USHAURI: JUDGE FROM ISSUES NOT PERSONALITY AND STYLE!!!

ITAENDELEA...

BY MJEDA ALIOPO FRONTLINE CHINI YA FIELD MARSHALL GWAJIMA
Kilio chatoka kwa wapigaji. Mwacheni anyoshe wizara hii ya afya. Mission yake ikikamilika rais ampeleke wizara ingine nako akanyoshe watendaji.
 
Back
Top Bottom