kazurikazuri
JF-Expert Member
- Aug 9, 2014
- 237
- 70
Ulikua unaenda Suka??
Mbona lengo likawa kushukia manzese?
Nimsaidie ukishukia manzese huwa kuna magari kibao yanayogeuzia hapo soo angepata gari yenye siti
Ulikua unaenda Suka??
Mbona lengo likawa kushukia manzese?
Ukisikia hekima basi hii ndo hekima mkuu ulifanya jambo jemaIngawa nilikuwa na hasira za kumpga hata kofi lakini niliamua nisijibu chochote hadi mwisho wa safari angu
Eeeeh serikali yetu tusikie waja wako.........muondoe dumping fee kila mtu amiliki gari.......
watu kuto tofauti mm mara nying nikiingiaga dala dala ilo jaa mfano mm nina siti utaskia dada njo nikupakate mm nikae na kweli so kaka jua watu wengune visilan tuu
kijana mimi nilijitahidi kukutetea kwenye daladala halafu unakuja kunizalilisha huku MMU? kumbuka tulipofika Tip Top nilijaribu kukupunguzia hasira juu ya huyo binti, uzuri nimekushika sura nitakukamata tu na utajuta kukaa Dar es saalam.
Ulikua unaenda Suka??
Mbona lengo likawa kushukia manzese?
Pole sn hawa dada zetu wengi wao wanajiona wao ndyo kila kitu
hongera mzee wa humu kumpa makavu live yule dada..(mzee keshasikia)
Sipendi daladala iliyojaa,tangu nilipobanwa na mashangingi,wa Mbele yangu anasugua kwa makalio,UUME wangu kwa kusudi !