ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
- Thread starter
- #101
Huyo mwanamke alikupimia sana..usiwe mpole kupita kiasi watu watakuchezea sanaaa. Endana na mazingira.
Sawa sawa ndugu
Huyo mwanamke alikupimia sana..usiwe mpole kupita kiasi watu watakuchezea sanaaa. Endana na mazingira.
Hahahaha ahsante kwa hili promo. Linanisaidia sana kule PM. Kuna mchuchu nshauambia ntaupeleka Nigeria kwenye show ya Davido.Asprin anatembelea vogue hawezi kuwepo daladalani
Nadhani atakuwa Mtambuzi au KakaKiiza. Mijamaa ni mibazazi sijapata kuona.Kumbe... Sasa sijui babu yupi huyo wa MMU aje tumpongeze
^^
Si mimi bali kuna kabinti kako kwenye heat.....Mkuu umeniita hapa?
Kama ni yule hayawani wa grupuni simtaki hata bureSi mimi bali kuna kabinti kako kwenye heat.....
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:Kama ni yule hayawani wa grupuni simtaki hata bure
Habari
Ipo hivi jana nilikuwa nimetoka zangu kinondoni narudi home kimara- suka nilipofika usalama nikaanza kutafuta daladala ya kwenda suka kama ww mwenyeji wa dar utakuwa unajua usafiri wa kwenda mbezi usiku unavosumbua sijazoea kugombania daladala lakini baada ya kukaa sa 1kituoni bila kupata gari ikabidi nikubaliane na hali halisi ya kugombania,ikaja daladala ambayo ilikuwa inaishia suka ndipo nilipo amua kuingia hvyo hvyo bila kujali.
Kiukweli tulikuwa tumebanana sana hakkuwa na namna sababu ilikuwa kama sa 2 usiku inaenda sa 3 nilisimama usawa wa kiti ambacho dada mmoja mweupe alikuwa kakaa hapo kwa jinsi tulivyo banana niliamua kugeukia kutazama dirisha sasa mkono mmoja ulipita juu ya kichwa cha yule dada na nikashika nguzo ya dirisha mkono wa kulia ukashika kiti kilicho kuwa mbele ya yule dada na hata gari ingedunda vipi nisingeweza kumgusa.
Nilizubaa mbele kumuangalia mzee mmoja ambae alikuwa na smartphone huawei kilicho fanya nizubae kuangalia ile simu ni kuwa yule mzee alikuwa kama wa miaka 55 hadi 60 hivi lakini nilishangaa kuona aki click JF application na kufika hadi kwenye jukwaa la MMU na kufungua.
Lakini nilishindwa kuona ni uzi gani aliufungua kwani nilishutuliwa na vibao viwili vya mkononi kutoka kwa yule dada na akanza kuongea we kaka vipi unataka kunitoboa macho utanizaa ukinifanya nikiwa kipofu alinifokea sana bila kuelewa kosa langu ni lipi na akanivyonza sana hata mama angu mzazi hajawahi nifokea vile abiria wote walishikwa na butwaa kuona yule dada alivyo kuwa akinifokea na kuongea maneno yasiyo na hekima nilipandwa sana na hasira nikashindwa kuongea hata sikumjibu kitu nilimwangalia usoni kama dakika 1 hivi nikajisema moyoni malipo ni hapa hapa duniani.
Ndipo abiria wakanza kumsema yule dada na kumuonya kuacha hiyo tabia
Yule mzee wa MMU alikuwa mstari wa mbele sana kumsema yule dada sijui anatumia ID gani humu ningemtaja lakini bila shaka huu uzi anausoma na atakuwa shahidi wa kile kilicho tokea na kuja kushuhudia hapa nilipenda san alivyo mpa makavu yule dada lengo langu lilikuwa ni kufika manzese nishuke kwa hasira nilizo kuwa nazo lakini sikushuka kwa jinsi abiria walivyo mshambulia yule dada akiwepo mzee wetu wa humi MMU nilimsikia akisema ndo maana yeye kamua kumuozesha binti yake kwa laki 2 kwasababu ya tabia za ajabu za akina dada walizo nazo na kuhofia isije siku wakachana afu akashindwa kurudisha mahali.
Mzee najua unanisikia please njoo uwe shahidi wa haya bahati mbaya kimara mwisho yule mzee alishuka.
Inaniuma sana kwa alichonifanyia yule dada sitamsahau leo hadi kesho kwanini anifanyie vile mm binadamu mwenzake,mimi nilimkosea nini kama alikuwa hataki kubanwa kwanini alipanda daladala ni kujiona au nini inaniuma sana nyie akina dada sijui nani ali walaani.
Eeeh Mungu baba msamehe kwani halijui alitendalo

Shiiiiiiiiiiii............... Name calling hairuhusiwi JF.
Acha kukimbia kivuli chako muzee.... Timiza wajibu wako.
Njoo basi nikugawiemu hutu tupensheni kabla hatujaisha!!! Si unajua nakuzimiaga wakati ule nikiwa bado hendisamu!!!
hahahhahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa babu jamani
nakuja kuchukua gawio langu nawe walikupa zile za tegeta es........... ni hizo babu au?