ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
hahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani umeniacha hoi kabisa
kwahyo unatafuta mtu wa kula nae hizo hela za FAO
basi tukutane leo pale serena hotel tukajivinjari
kwahyo unatafuta mtu wa kula nae hizo hela za FAO
basi tukutane leo pale serena hotel tukajivinjari
Waniita babu wataka kuninyima nini lkn ladyfurahia ? Sio escrow, Ni FAO la uzeeni tu. Mvi tu ndio zinaonesha uzee ila kwingine koote mimi ni kijana wa miaka 26.