jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
atakua mis chaga
Mkuu hicho kilio akikitoa mwanaume haipendezi hata kidogo
Twende mtaa wa pili chapchap sana nikakupige mpaka uvimbe tumbo
Hako kamlio hakyamama najaribu kuimajini ukikatoa wakati naniliu inananiliu....
Uzee mwisho wake mwanzo wa tezi dume.....Hapo ushakuwa mzee i cant imagine ulivyokuwa kijana baru baru swagger zako zilikuwaje
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi hik hik hik hik hik hik
atakua mis chaga
Eeeeh serikali yetu tusikie waja wako.........muondoe dumping fee kila mtu amiliki gari.......
Ha ha ha! Nimecheka sana hiyo method. Changing of Liability into an asset! Mgosi mbinu hizo wanazo wachache sana na hawa vijana wa siku hizi ndio hawana kabisa.
Tena haswa ile ya zaidi ya miaka 10 ndio maumivu makali.
Ulimfanya nini huyo dada?
Sikumfanya chochote na mkono hata haukumgusa lakini nilivyo fokewa uwiii
ina maana hujasoma, umekurupuka!! dah
Bora hata hvyo ningekuwa navyo sikuwa navyo au ningekuwa nimemnyoshea vidole lakini hata
Asprin anatembelea vogue hawezi kuwepo daladalani
Uzee mwisho wake mwanzo wa tezi dume.....
Hiyo si name calling, ni id mention. Which is allowed.