Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

Wajinga Sana Majamaa..

Mmoja alinikuta nimebeba likitabu la la kijani kijani na maurembo eanaoiita Korani/Kuruani eti vile anajua Mimi Ni Mfuasi Wa Yesu aliyehai akaanza Kuhamaki na kuninyang'anya.

Nikamuambia kitabu Ni change nimenunua kwa hela yangu wakajikusanya pale mwanangu. Nikawauliza Uislamu Ni Fini Ya Watu Wote? Wakajibu ndiyo.. nikawaambia basi Korani Pia ya Watu Wote!

Polisi walitokea pale ikabidi kila mmoja apite hivi kimya kimya.

Tafadhali mkuu, hebu andika tena upya.... kama ulisoma kwa mkopo ujue nina haki ya kukutaka ufanye hivyo.
 
huwezi kula supu (ya nyama) na maziwa fresh usiharishe. Huwa haishauriwi.
ni kama kulamba asali na muda huohuo utafune tango, lazima uage dunia.
Bado una imani hii ya kula Asali na Tango then unakufa?.

Ila tayari nagundua umri wa baadhi ya wenzetu humu ni wajukuu zetu so akili bado zinafanya kazi moja.

Ingia hata google ukaulize
"hatari ya kula asali na tango nini matokeo yake"
 
Leo nmeamka nikiwa simple tu nilipigiwa simu ofisini nielekee sehemu moja magomeni kwa shughuli za kikazi. Nlivaa vazi ambalo weng husema asili yake ni uarabuni. Lakini mimi nlinunua duka la kihindi wanaita Punjab Style.

Ni mpenzi wa kuvaa hivyo huvaa nguo tofauti tofaut za tamaduni mbalimbali.kuna siku unaweza nikuta nmevaa kimasai.

Nikiwa navuta muda kuweza onana na mtu wangu nikaona nishuke kwenye gari nikae sehemu moja wanauza chakula.na nikaagiza soup ya mbuzi na chapati nne na maziwa fresh.

Nmekaa nakula akaja jamaa mmoja ananiita mimi kobe? Sukumwelewa anamaanisha nini.baadaye mwingine pembeni ndo akanambia kwa nin nakula hadharani? Nlimjibu ni haki yangu kula popote kwa wakati wowote.

Jamaa yule wa kwanza alitoka akaja na wenzie tatu wameshika bakora etu kuniadabisha kwa kuudhalilisha Uislamu. Jamaa wamekomaa hasa na bakora zao na imekuwa zogo.

Nliwaambia nataka nimwone wa kwanza kunichapa bakora.nikasimama maana ndani ya ile nguo nmevaa kisuruali ambacho kina mifuko.nikatoa silaha maana nlihisi wale jamaa wanataka kuhatarisha maisha yangu.

Hiyo ndo imekuwa ponea yangu sababu jamaa waliona nipo serious nami ngelazimika kufanya mauaji ya halaiki kwa wale jamaa maana walisha paniki bila sababu wanataka kuni adhibu for no reason.

Nauliza waungwana.kuna kosa gani mimi kula mchana nikiwa nimevaa mavazi ambayo leo nmeambiwa ni ya kiislamu?mimi nafaham wayahudi wanavaa hivi huko israel.nafaham kuna wakristo wa kiarabu wanavaa hivi.

Kwa nini hili vazi lionekane ni la dini flani? Mimi binafsi sifungwi na dini nina imani yangu kwa Mungu lakini sibanwi na dini.sipendi unafiki.

Why waone nadhalilisha uislam wakati sikuongea neno lolote la kiislamu au sikufanya ishara yoyote ya kuonesha mimi ni mkristo au muislam?

Hizi akili hawa jamaa walitoa wapi kuona wanastahili kuniadhibu acha kuniita kobe sikuona issue sababu hata ukiniita shetani ikiwa najua mi si shetani siwezi gombana nawe.

Mi nadhani tuheshimiane na tuheshimu haki za watu wengine. Mimi nmekulia ktk mazingira ya kiislam naufaham uislam some how naufaham ukristo some how. Tusitake kuendesheana maisha.

Leo kweli ngemchapa mtu risasi ya mguuni na ingekuwa gumzo. Najua kuna watu watakuwa wamechukua video tukio hilo. I dont care but nawaambia watu wasio na ustaarabu wasitumie dini vibaya.

Ujinga tu huu wako, lazima watu waheshimu Imani za watu, ungewahi kwenda magereza usingeongea hayo ya risasi, hujui tu.... mpaka wajue una haki ni December.. muachage huu ujinga wa kuwa na bastola mkifiriki ni sifa...
 
Wajinga sana hawa jamaa, wanahisi wana haki ya kutoa adhabu kwa muislamu yoyote.
 
Wajinga Sana Majamaa..

Mmoja alinikuta nimebeba likitabu la la kijani kijani na maurembo eanaoiita Korani/Kuruani eti vile anajua Mimi Ni Mfuasi Wa Yesu aliyehai akaanza Kuhamaki na kuninyang'anya.

Nikamuambia kitabu Ni change nimenunua kwa hela yangu wakajikusanya pale mwanangu. Nikawauliza Uislamu Ni Fini Ya Watu Wote? Wakajibu ndiyo.. nikawaambia basi Korani Pia ya Watu Wote!

Polisi walitokea pale ikabidi kila mmoja apite hivi kimya kimya.
Hahahaaa
 
Kwanini hukuwaadabisha hao nguruwe pori?
Umenitia hasira kwa kuwaacha hao nyang'au!
Sijui itakuwaje siku wapumbavu kama hao wajaribu kuingia kwenye anga zangu
 
Sawa Tushajua kwamba Leo Umekula Chapati Nne Na Maziwa Fresh bila Kusahau Unamiliki Silaha.
Ahsante Sana Mkuu Kwa Taarifa yako Ubalikiwe.
 
Wajinga Sana Majamaa..

Mmoja alinikuta nimebeba likitabu la la kijani kijani na maurembo eanaoiita Korani/Kuruani eti vile anajua Mimi Ni Mfuasi Wa Yesu aliyehai akaanza Kuhamaki na kuninyang'anya.

Nikamuambia kitabu Ni change nimenunua kwa hela yangu wakajikusanya pale mwanangu. Nikawauliza Uislamu Ni Fini Ya Watu Wote? Wakajibu ndiyo.. nikawaambia basi Korani Pia ya Watu Wote!

Polisi walitokea pale ikabidi kila mmoja apite hivi kimya kimya.
M.......F......C.....K.....R

Kama hii sio dini yako usitukane pita pembeni itakukosti siku moja wewe M.b.w.a
 
Pole yako.
Hayo mambo yangezungumzika kama tz ingekua nchi ya kiislam 100%.

Katika uislam ni jambo moja tu linalotoa fursa ya kutumia mavazi ya mtu kujaji iman yake, nalo ni pale ukikuta maiti isiyojulikana na ukitaka kufanya mazishi kwa kuzingatia imani mana hapo huwezi iuliza maiti imani yake.

Kuna jambo haliko sawa kwa baadhi ya waumini wa dini zote, "KUSHINDWA KUELEWA VIZURI MAFUNDISHO YA DINI ZAO NA KUFUATA MIHEMKO YA AKILI ZAO"
 
Waislamu hua wanaendeshwa sana na mihemuko hawaelewi kwamba hayo ma baibui sijui mavazi ya kiislamu hata wakina Jannette, Juliette, Sylvia wanayavaa siku hizi...tabu tupu
 
Back
Top Bottom