Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,955
- 122,247
Ngoma bado droo mkuu?Bila bila mzee
Ngoma bado droo mkuu?Bila bila mzee
Mwenye taarifa atusaidie, walisema mafunzo yanaanza tarehe 17/5/2021. Na leo ni tarehe 20 lakini hamna taarifa yeyoteWameshatoa majina??
Wajanja sio watu wazurihapa tushatapeliwa
Afyaumesomea nn kaka
Ipi hiyo mbona sijaisikiaKuna ile course ya ukondakta ilitangazwa hapa majuzi, ndio unayoulizia?
Waseremala hawa.Mwenye taarifa atusaidie, walisema mafunzo yanaanza tarehe 17/5/2021. Na leo ni tarehe 20 lakini hamna taarifa yeyote
Hii program ndio imeyeyuka hivyo ama..Bila bila mzee
Naona tarehe 25 hyoooo afu kmyaaaaHii program ndio imeyeyuka hivyo ama..
Labda mambo bado yapo jikoni, maelfu walituma maombiNaona tarehe 25 hyoooo afu kmyaaaa
Na mm nahisi hivyo.. Ila lazima watangaze, haiwez kupotelea hewani..Labda mambo bado yapo jikoni, maelfu walituma maombi
Hii wiki ya kesho laweza tokea jamboNa mm nahisi hivyo.. Ila lazima watangaze, haiwez kupotelea hewani..
Napenda kufahamishwa yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani.
Mimi nina kadigrii kamoja lakini bado sijaona matunda yake hadi sasa, nimechoka kusikia ahadi hewa za ajira tangu enzi za mwendazake na sasa kipindi cha Bimkubwa ambapo alitaja ajira 6000 za walimu lakini sijui zimefikia wapi, naona zingine pia zinatajwa kule mjengoni kwenye kudemka.
Nimeamua nitimkie kusoma ujuzi VETA ili niweze kuyamudu mazingira ya mtaani nikiwa na uhakika wa kupata hata jero ya maji ya kunywa.
Tayari nishatuma maombi ya ujuzi wa umeme majumbani ila sijajua hayo mafunzo yatakuwa kwa muda gani ili niweze kujiandaa kisaikolojia endapo zile ajira zinazotajwa mjengoni zikitoka nisiweze kuzikosa kisa endapo nitakuwa naendelea na mafunzo ya ufundi.

Wafanye kweli, tunahumu ya kupata ujuzi, ili tuweze kupambana na haya maishaNiliongea na jamaa 1 akasema wapo bado na mchakato maombi yalikua mengi Sana ila watatoa majina yatatangazwa na ofisi ya wazir mkuu na kwenye magazeti pia
Acha waajiriwe mzee,Pole sana, watu wanaajiriwa kila siku...