Yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani?

Habari zenu wakuu jamani leo ni tarehe 16 tangazo linasema mafunzo yataanza tarehe 17 lakini hadi hivi Sasa hakuna updates zozote kuhusu mafunzo haya
Mwenye kuwa nazo atujuze
 
Back
Top Bottom