Yale mafunzo ya VETA yaliyotangazwa na serikali yatakuwa ya muda gani?

Ndio, wiki hii ni ya usajiri kuanzia leo j,tatu, na mafunzo yanachukuwa miezi 6 tu, kama hauja pata sms na unauhakika umechaguliwa nenda katika chuo ulicho chaguliwa maana usajiri unaendelea, jambo la msingi ni kukumbuka namba yako ya iliyoandikwa pale kwenye karatasi uliyochaguliwa
Nimejaza fomu ya usajili leo, wameniambia nisubiri tena Wizara itatoa taarifa ya kuanza mafunzo.

Nyie huko mlipofanya usajili mumepewa taarifa gani?
 
Hapana, mm sijapokea sms yyte na nmechaguliwa kipawa
Inabidi uende chuoni ukajisajili, mimi nilienda kujisajili siku jumanne iliyopita baada ya kumaliza waliniambia nitajulishwa siku ya kuanza mafunzo, ndio nilipokea sms kujulishwa kuwa mafunzo yaanza jumatatu tarehe 14/6/2021
 
Mambo yalikuwa magumu nikakimbilia VETA, nilisoma kwa wiki mbili nikaacha baada ya mtu tuliyefahamiana kuniajiri kwenye Biashara yake.

Hongereni wote mlioweza kumaliza yale mafunzo!
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom