Yale madude yetu yapo hewani

Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
 
Hapo mkuu sasa umeongea lugha ya wazi mno, watasitisha safari hawa wenye mabasi, ih!

Kuna hili basi jekundu nililipenda mara ya kwanza kwa kusafiria kuanzia saa 6 usiku had 12 asubuhi lakini siku hizi limefupisha safari zake hata kule nilikokuwa nikishukia siku hizi halifiki sababu linaondoka stand saa 6 na ikifika saa 9 usiku linasitisha safari yake likidai nilipie nauli na mizigo yangu imeshaozea njiani kama mara nne hivi nikaamua kuacha. Na hili linalosafirisha mizigo usiku kwa sh 200 ni zuri tatizo lake dereva anabana mno mafuta akidai linapoenda kasi abiria hawasinzii hivyo wakisinzia tu, gari hilooooo 25-30/kps kulingana na barabara za huku kwetu
 
nimependa sana lugha za humu ndani....mgeni akija anaishia kushangaa tu!
 
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude

Wamepata upako wananena kwa lugha
 
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude

Afadhali umesema bosi jamaa wanazingua!!!
 
guru mpango mzma..
mlopotea huku fanyeni mrudi ktk majukwaa yenu ya mapenzi na udaku
 
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude
mkuu usiwafahamu vibaya. kwani wakifanya hivyo unavyosema wewe hayo madude yatakuwa ndio mwisho wake.... na ndio itakuwa hasara kwa wote...... wasamehe tu...... kiroho safi...
 
hahahaha gat ya wakuu co mwelevu kivile na co mkalee kwa humu kivile bt hiki kitabu hata mimi kinanihusu!
 
wakuu mimi nina kabasi kangu kadogo kias ila huwa kanakidhi mahitaji, nikikaweka hapa katapinduka mapema, wanaokataka wanipm ila ni wa basi jekundu tu,
 
Oya mjue mnatuyeysha kinomanoma...kama vp pigeni story zenu chemba sio huku jukwaani...mwageni maujanja au toeni hint angalau tupate picha ya hayo madude

kwan mkuu bado unapanda basi la blue?halina safar za usiku.. Mpaka gnaaabak,.. Yaan kabaaa?
 
kwan mkuu bado unapanda basi la blue?halina safar za usiku.. Mpaka gnaaabak,.. Yaan kabaaa?

Agh mi nipo na zantel bando la 20000 mwezi nzima lipo safarini tu,sitaki kuchakachua!!
 
Jamani JF ni community forum inatoa vitu kwa jamii nzima hivyo si kila kitu unachokiona humu basi kinakufaa..!! ukiona kitu huelewi basi ujue si kwa ajili yako..na ndo maana hata kuna majukwaa na threads tofautitofauti...yaani kama ilivyo katika jamii tunazoishi si kila kinachofanyika katika jamii unayoishi na wewe lazima ufanye..so wakati mwingine tuache kulalama kwa vitu ambavyo hata uelewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…