kwa maekezo yake ni kwamba eneo alilo pigwa sana ni kutoka kwenye nyonga hadi kwenye goti .
ingawa inaoneha una huzuni sana kuona lisu yu hai lakin uzuri maisha ya mwanadam ni marefu sana katika mauti kuliko uzima.hivyo tujifunze kuweka hazina ya mema katika uhai wetu.
Msameheni bure huyo mleta uzi kwani Kokobe kamvutuga pakubwa! Yaani badala ya kumshukuru Mungu kwa kuulinda na kuutetea uhai wa Lissu yeye analeta utomaso wake kwa kuamini kuwa Lissu anayeonekana kwenye picha siye bali ni wa kutengeneza kwa jinsi walivyommiminia risasi!
Jiulize pia, mbona wale wanaofanya upasuaji kurekebisha maumbile ya miili yao huwa makovu hayaonekani!? Jibu ni kuwa teknolijia ya matibabu imekuwa sana, ni pesa yako tu
Kumbe na wewe braza ni hamnazo kabisa. Maana uko bize kupondea serikali ya awamu ya tano kimburura zaidi. Huku wenye akili wakiwa busy kusaka pesa .
You have revealed your ignorance by yourself, ooh how awful.