Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

Itakua anajifanya tu hakuguswa na risasi.
 
Tomaso nae kama wewe tu sishangai awe peke'ake kutaka aone alama za misumari kwenye viganja vya mikono ya Yesu. Kuna wakupuuza we ni wa kwanza
 
Wanadanganya hakupigwa risasi mkuu, alimwagiwa maji ya baridi tu,
Najua umefurahi sana
 
Huwa nakufananisha na jingalao.

Wewe na yeye ni mke na mume ?
 
Kuna watu mna uelewa mdogo basi tu,Kovu uone ili iweje? Fanya yenye faida na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…