Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni.
Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi.
Mimi siyo mfuasi wa Lissu wala Chadema ila swali lako ni lakipuuzi sana na linasadifu umbumbumbu wako, hayo makovu ulitaka yaonekane maana yaliandikwa na oil chafu au?
Mkuu kwani mguu unaanzia wapi na kuishia wapi? Wewe ulitaka apige picha akiwa uchi ili uone hayo makovu? Kama una hamu sana ya kuona makovu ya risasi kwa Lissu, Nairobi sio mbali nenda kamwone na ukifika sema unaomba kuona makovu ya risasi. Kama huna nauli omba msaada utachangiwa. Hii mada ungesubiri kidogo mwaka uanze kukomaa kuliko kuileta mapema namna hii.
Baadhi ya sehemu alizopigwa risasi zilidhurika sana kiasi cha madaktari kutoa nyama na ngozi sehemu nyingine na kuweka sehemu zilizodhurika. Huwezi kuona kovu hapo......