Yakienda majina matatu, hatoboi

Yakienda majina matatu, hatoboi

Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Hata 5 hatoboi
 
Hii mbona iko wazi kabisa ndo maana alijipitisha chap kwa fastaa😂
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Shida yetu sisi ni kutokumuona huyo chiba na kikundi cha mashoga wenzie wakiingia ikulu hilo tu basi. Hayo mengine yote ni sherehe kwetu.
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Hivi atakubali kutoka nje?
 
Hatakiwi hata kuwa miongoni mwa wagombea.
Kawa makamu na kesha kuwa rais apumzike.
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Hili walikwisha liona kitambo, ndio wakaja na uhuni ule.
 
kwanini wapeleke matatu mkuu wakati mwenyekiti wao anaenda kupambani muhula wake wa pili
Huu muhula ni wa Hayati Magu unaisha, yy kasaidia kuvusha kama mwenza wake;
sasa Muhula wake wa pili kivipi?
kataa wahuni
 
katiba ya tanzania ibara ya 40 --- inasema kapiga muhula moja mmoja

kama unashida yeyote tuungane kwenye "KATIBA MPYA NI SASA"
 
Back
Top Bottom