Yakienda majina matatu, hatoboi

Yakienda majina matatu, hatoboi

Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Hii haipo. Labda aseme yeye basi.
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
kwanini wapeleke matatu mkuu wakati mwenyekiti wao anaenda kupambani muhula wake wa pili
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Tatizo Mkwere.
 
Kikwete alitumia ubabe kupitisha tv yake
 
We ni kichaa wa siku zote, hayo majina yapeleke wewe. We nyumbu mmeshakimbia uchaguzi tulizeni makalio nyie mapoyoyo mambo ya CCM waachieni wenyewe, CCM ina wenyewe, Polepole ni garasa tu lililookotwa na Magu
Mkuu akichaguliwa rais anakuwa wa wananchi wote wa Tanganyika hivyo sote tuna maslahi.
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Anatakiwa kukaa pembeni na awekwe kizuizini kama Aboud jumbe
 
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.

Muendelee kuwa na siku njema.
Unavijua vimemo wewe?
 
We nawe!chama kilianza 1977 hata jk hajawa mwenyekiti kitakufaje!!?ukiona ccm inakufa ujue imeamua ijiue yenyewe!!
Unachekesha kweli!!! Kwani vilivyokufa vimekufanye? Katafute nchi nyingine uone jinsi vyama vyao tawala vilivyopotea kwenye ulingo wa kisiasa!
 
Back
Top Bottom