majina matatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kulazimisha mtu awe na majina matatu hata kama vyeti vyake vya taaluma vinayo mawili siyo sawa

    Kumezuka jambo ambalo siyo la kiungwana na halionyeshi kama elimu inatusaidia kama taifa. Mtu analazimishwa awe na majina matatu kwa sababu gani? Nida na sehemu nyingine za usajili kwa watu wazima tumieni majina kama yalivyo kwenye vyeti vya taaluma siyo kulazimisha mtu atafute middle name as...
  2. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania CCM tusiruhusu majina matatu Urais, sio utamaduni wa Chama

    Ili kutunza Amani yetu ni vizuri likabaki jina moja tu. NB: Mboe aende CHAUMWA apitishwe chap kuwa mgombea Urais kuzuga wapiga Kura na wafadhili.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Yakienda majina matatu, hatoboi

    Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri. Muendelee kuwa na siku njema.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Kuweka majina matatu kwenye Cheti

    Cheti cha kuzaliwa kina majina matatu. Vyeti vyote vya shule vina najina mawili. Ni taratibu gani naweza kufanya ili majina yangu ya vyeti vya shule niweke jina la tatu ambalo liko kwenye cheti za kuzaliwa. Kindly advise, please!
  6. sergio 5

    JamiiForums Tanzania CHALLANGE NJOO UTAJE MAJINA MATATU AU MANNE YA KUZALIWA YA MCHEZAJI WA ULAYA UNAE MUHUSUDU NAANZA

    1. JUDE VICTOR WILLIAM BELLINGHAM 2. LAMINE NASRAOUI YAMAL EBANA 3. PHILP WALTER FODEN
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mliofanya interview ajira za utumishi, ni kweli hawataki vyeti vyenye majina matatu tu?

    Habari wana JF, Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu? Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje? Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?
Back
Top Bottom