implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,114
- 2,149
Wanasema hilo haiwezekani ,ati ni desturi aliepo aendelee.kwani akina mwashambwa, chiembe, choicevariable wanasemaje?
Wanasema hilo haiwezekani ,ati ni desturi aliepo aendelee.kwani akina mwashambwa, chiembe, choicevariable wanasemaje?
Na ndiyo maana kile kizee cha msoger kilivuruga ili kumuokoa mtu wake.Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.
Muendelee kuwa na siku njema.
Yaende wapiTukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.
Muendelee kuwa na siku njema.
No Reform No Election.Yaende wapi
Nyie subirini 2030… si mmesusia uchaguzi?
kwa hio hata 2030 nchimbie ndiye raisi wetu sio?Wanasema hilo haiwezekani ,ati ni desturi aliepo aendelee.
wakipeleka jina lake ili wachague Ndio au Hapana je atachomoza?Hata yakipelekwa mawe mawili na jina lake, bado hatatoboa.
CCM inahitaji Reforms na hii nchi inahitaji Reforms. Sio kwamba Mama Samia ni mbaya kihivyo. Tatizo ni kuwa tupo kwenye nyakati za mabadiliko hivyo hakuna namna propaganda zitawaokoa. Tanzania mpya yenye Haki inakuja.Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.
Muendelee kuwa na siku njema.
najua uko karibu naye. mwambie hana kibali kwa Mungu na kwa wanadamu. Amekosa kibali ndiko shida iliko. Miaka yote amekaa kwenye uongozi wa juu kabisa wa nchi si inamtosha? Mwambieni aachie kiti kwa heshima vinginevyo ata ...walete tu majina matatu mama yetu wamemchosha sana watamfanya awe na shinikizo bure
Mimi nashauri walio karibu yake wamwambie kuwa muda wake umeisha, anafaa kwenda kupumzika kwa heshima. Asisubiri kuchokwa.Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri.
Muendelee kuwa na siku njema.
Any regular person in Africa ana elements za unafki.WanaCCM ni Wanafiki wewe acha tuu.
Popoma la siku is who you are.We ni kichaa wa siku zote, hayo majina yapeleke wewe. We nyumbu mmeshakimbia uchaguzi tulizeni makalio nyie mapoyoyo mambo ya CCM waachieni wenyewe, CCM ina wenyewe, Polepole ni garasa tu lililookotwa na Magu
Nadhani anakosa washauri wenye akili na busara.Kuna haja gani ya kulazimisha kwa watu wanaokuchukia
Angeacha tu kujipa heshima
Kwa sababu yajayo itakuwa ni Zaidi ya hapa