Yajue Maujanja ya Computer hapa(should see this): No 1

Mkuu mtalaam, mimi mini laptop yangu inachelewa kufungua internet na inakuwa inaandika 'not responding', nikiweka moderm inashika kwa shida sana. halafu nimeambiwa naweza kuongeza RAM maana ina 500. nisaidie kuongeza RAM hata kama ni ya kununua
Slow loading ya pc inategemeana na mambo mengi mkuu..mfano programs ulizonazo, uwiano wa uwezo wa processor na RAM yako, browser unayotumia (mfano mozilla ina haya maujinga sana), extensions na add-ons ulizoinstall kwenye hiyo browser na mengine mengi tu..cha msingi make sure huinstall programm nyiingi ambazo hata huzitumiii kwenye pc yako...acha zile zilizo na umuhim kwako...maana mi nlishawahi kukutana na mtu kila program anayoiona anataka kuweka na yeye...pc ikawa kama adhabu sasa...kuwaka tu inatumia 10 mins...!!
 
Jamani maujanja namba 2 ishatoka...kazi kwenu sasa.
 
thank you for useful post!

but still cant get it.. why would some one want to rename Recycle bin. who does that ..?!
:A S embarassed:
 
thank you for useful post!

but still cant get it.. why would some one want to rename Recycle bin. who does that ..?!
:A S embarassed:

If you think you need to, why shouldn't you change?
May be you might need to name it 'takataka'
 
Back
Top Bottom