Yajue Maujanja ya Computer hapa(should see this): No 1

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,025
Hapa ngoja nimwage maujanja kidogo ninayoyafahamu, najua wengi mnafahamu lakini kwa wale wasiojua basi tukumbushane hapa. Ni maujanja ujanja tu. Haya tuanze sasa.

1. Kuongeza spidi ya intaneti.
Kama unatumia broadband(BB) connection nyumbani na unatumia window XP kama OS, na unahisi kwamba BB spidi yako ni ndogo, sasa hapa unaweza kuongeza spidi up to 20%. Kivipi?
-Hakikisha umelog in kama administrator -Anza kwenye Start-> Run -> gpedit.msc, bonyeza OK.
-Nenda kwenye Computer Configuration -> Administrative Templates -> Network -> QoS packet Scheduler.
-Kwa upande wa kulia utakuta hii option Limit Reservable bandwidth
-Ingia hapo na bofya 'Enabled'...kwenye value(nadhani inakuwa 20)...badilisha,weka 0(zero).
-Apply then bofya OK..
.Kushney.

2. Kupata XP key kutoka kwenye CD yake.

Hapa huna haja ya kuhangaika kutafuta product key za XP wakati unataka kuistall OS kwenye system yako.
Cha kufanya: Fungua(explore) CD yako, halafu fungua folder I386. Baada ya hapo fungua file limeandikwa UNATTEND.TXT, Scroll mpaka chini kule kuna utaona uhuni wa watu wa Microsoft ulipolalia. You have done it.
Kushney

3. Hii inaitwa "EXTREMELY FAST BOOTUP"

Hapa kama computer yako inachukua muda mrefu kuwaka, basi njia hii ni dakika sufuri tu, kitu kishawaka.
Kivipi...fuatana nami hapa:
-Kwanza iwezeshe hibernation.
-Nenda kwenye control Panel
-Chagua Power option
-halafu enable hibernation(tia tick hapa),
-Baada ya hapo,fanya hivi, nenda kwenye start->turnoffcomputer button->Bofya shift halafu then on hibernate
Press shift button after you click 'Turn Off Computer' in start menu.
Kushney.

4. Kubadilisha jina la Recircle bin.
-Kwa hali ya kawaida huwezi ku-rename hili folder. Ila kwa maujanja haya unaweza kulifuta hilo neno na kuandika neno lingine lolote utakalo.
Kivipi?Fuatana nami hapa:
Fungua command box hivi: start->run->hapa andika regedit HKEY_CLASSES_ROOT/CLSID/{645FF040-5081-101B-9F08-00AA002F954E} na badilisha jina la "Recycle Bin" kwenda kwa jina lolote unalotaka (hakikisha usiandike quotes yoyote kwenye hilo jina).
Kushney.

Kwa leo tuishie hapa...hili somo litaendelea siku nyingine(Part 2,3,4,5...nk).
Jumapili Njema
1qs8et.gif
2u7ow7c.gif
 
shukrani mkuu. Sasa una kitu gani kwetu sisi tunao browse kwa kutumia simu ya Twanga Pepeta Siemens C25

Jaribu hii kitu then leta feedback:
Siemens
IMEI number: * # 0 6 # Software version: Take out SIM & enter: * # 0 6 # (& press LONG KEY) Bonus screen: in phone book: + 1 2 0 2 2 2 4 3 1 2 1 Net Monitor (S4 Power): Menu 9 8, left SoftKey, 7 6 8 4 6 6 6, Read phone, Menu 5 6

Na nyingine hizi hapa:

LG Secret Codes

LG all models test mode: Type 2945#*# on the main screen. 2945*#01*# Secret menu for LG IMEI (ALL):
*#06# IMEI and SW (LG 510):
*#07# Software version (LG B1200):
*8375# Recount cheksum (LG B1200):
*6861# Factory test (B1200):
#PWR 668 Simlock menu (LG B1200):
1945#*5101# Simlock menu (LG 510W, 5200):
2945#*5101# Simlock menu (LG 7020, 7010):
2945#*70001#

Samsung Secret Codes

Software version: *#9999#
IMEI number: *#06#
Serial number: *#0001#
Battery status- Memory capacity : *#9998*246#
Debug screen: *#9998*324# - *#8999*324#
LCD kontrast: *#9998*523#

Motorola Secret Codes
IMEI number: *#06#
Code to lock keys. Press together *7 Note: [] (pause) means the * key held in until box appears. Select phone line - (use this to write things below the provider name): [] [] [] 0 0 8 [] 1 [] Add phonebook to main menu: [] [] [] 1 0 5 [] 1 [] Add messages to main menu: [] […]
 
Kuhusu key, You are dead wrong! Hiyo cd unayotumia ni cracked na imewekewa hiyo serial number kusaidia unnattended setup. Cd zingine hazina hiyo file. Do enough reseach before poxting here.
 
Kuhusu key, You are dead wrong! Hiyo cd unayotumia ni cracked na imewekewa hiyo serial number kusaidia unnattended setup. Cd zingine hazina hiyo file. Do enough reseach before poxting here.

Inawezekana uko sahihi, lakini incase umenunua CD toka Microsoft shop, lazima upewe na product key bro.
Otherwise kwa hizi nyingine zilizokuwa cracked ambazo hazina key yake pale juu ndo maujanja yake hayo broda!!
 
Mkuu mtalaam, mimi mini laptop yangu inachelewa kufungua internet na inakuwa inaandika 'not responding', nikiweka moderm inashika kwa shida sana. halafu nimeambiwa naweza kuongeza RAM maana ina 500. nisaidie kuongeza RAM hata kama ni ya kununua
 
Hapa ngoja nimwage maujanja kidogo ninayoyafahamu, najua wengi mnafahamu lakini kwa wale wasiojua basi tukumbushane hapa. Ni maujanja ujanja tu. Haya tuanze sasa.

1. Kuongeza spidi ya intaneti.
Kama unatumia broadband(BB) connection nyumbani na unatumia window XP kama OS, na unahisi kwamba BB spidi yako ni ndogo, sasa hapa unaweza kuongeza spidi up to 20%. Kivipi?
asante
 
Mkuu mtalaam, mimi mini laptop yangu inachelewa kufungua internet na inakuwa inaandika 'not responding', nikiweka moderm inashika kwa shida sana. halafu nimeambiwa naweza kuongeza RAM maana ina 500. nisaidie kuongeza RAM hata kama ni ya kununua

Suala la Non-responding programs mada yake iko jikoni, kesho asubuhi fungua hili jamvi utaona. Suala la kuongeza RAM kwenye laptop ni issue nzito, ingawa inawezekana, na itakucost sana!! Ila kwa PC ni ize bt laptop...dah
NB:Kwa RAM ya MB500 inatosha kabisa kufungua internet kwa haraka. So hapo nadhani tatizo sio memory bt laptop yako itakuwa loaded especially D-drive. Try to format it, may b itasaidia.
 
poa mkuu. Kesho asubuhi nipo humu.
 
Pangu pakavu, mie nimetoka kapa!! nitarudi kesho kuchungulia kama Bujibuji alifanikiwa na C25 yake!
 
Pangu pakavu, mie nimetoka kapa!! nitarudi kesho kuchungulia kama Bujibuji alifanikiwa na C25 yake!

Haina noma Caro...kesho asubuhi hata kabla hujapigwa mswaki fungua hapa....kuna bonga la maujanja nitayaweka!!
Stay tuned!!
 
Back
Top Bottom