Baazigar
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 1,129
- 1,103
chatu na anaconda wanatofautiana...africa anaconda hawapoNamba 7 inafanana na chatu,isije ikawa huko wanaitwa anaconda huku ni CHATU
chatu na anaconda wanatofautiana...africa anaconda hawapoNamba 7 inafanana na chatu,isije ikawa huko wanaitwa anaconda huku ni CHATU
Ni misitu ya amazon tu tanzania hakunaEbwana asante sana makala nzuri
Hawa nyoka hivi kwa hapa Tanzania wanapatikana maeneo Yap
Ukanda gn
kiumbe chochote yeye anakula tena akimmeza binadamu anajiona kama amekula chips kukuJe naye hushambulia binadamu?
[emoji15] [emoji15] [emoji33] [emoji33]kiumbe chochote yeye anakula tena akimmeza binadamu anajiona kama amekula chips kuku
kweli mkuu hapo ni timing tu maana chui akitoka juu ya mti kwa speed lazm anakinda adedi tu, cjui vp kuhusu simbaHapo itategemeana nani kamuwahi mwenzie
ila kwa simba na yule dubu lazima anoki tuNa chui nae ni katili sana..
hawezi salimika maana koboko yeye anagonga tu kisha anatoka speed kali sana, yn lazima anaconda afe tuHuyu koboko anasumu ya kuua ngombe 100, anakonda atasalimika??
simba ni wa kawaida tu lazima cmba amezwekweli mkuu hapo ni timing tu maana chui akitoka juu ya mti kwa speed lazm anakinda adedi tu, cjui vp kuhusu simba
Hii taarifa sio ya kweli tulikua tunadanganyana zamani kabla mawasiliano ya Dunia kuwa rahisi, ila sasa hivi imani watu kula nyama za watu imebaki kwa wachawi tu. Mtu ale nyama ya binadamu mwenzie serikali inawaangalia tu, hata vyombo vya habari vilivyo vingi siku hizi wasiripoti, ivi kula nyama ya binadamu unadhani rahisi, huyo anaeliwa analiwa akiwa katika hali ganiWamakonde wanakuja NTU yangu kukujibu,,,
Lakini Anaconda hana makengeza na pia yule wa Bariadi ni nyoka wa kawaida lakini Anaconda ni Gujoka
Dah...ukiwa mweupe kichwani utang'aa sharubu but still utatoka kapa na hutokaa ung'amue kilichomaanishwa hapa.hahahaha Anaconda wa Tanzania,hii imenitafakarisha sana.Tanzania pia wapo huko Bariadi Shinyanga na kwa sasa nyoka huyo kaweka kambi Mkoani Dodoma!
Nimeuliza swali post no.83.... unaweza kunijibu kama unafahamu?kiumbe chochote yeye anakula tena akimmeza binadamu anajiona kama amekula chips kuku
Unanikumbusha movie ya Ice Cube na Jlo inaitwa ANACONDA kuna babu mmoja mbishi alikuwa anawafugaH aha aha aha aha ahaaaa unamfuga kwa kumuandalia mazingira na uhakika wa chakula uwe nao
Unanikumbusha movie ya Ice Cube na Jlo inaitwa ANACONDA kuna babu mmoja mbishi alikuwa anawafuga
Nayo kali nimeicheki piaMe naikubali ANACONDA 2 wale majamaa walioenda kutafuta maua ya kutengenezea dawa ya kutibu kansa
Acha hizo wewe...!!Wamakonde wanakuja NTU yangu kukujibu,,,
Mbona mbuzi wa bibi alibanwa na chatu akavunjika kiuno na mguu..Hapo kwenye kubana mawindo yake, wataalam wanasema kuwa huwa havunji mifupa bali huwa anabana hadi kuvuruga mzunguko wa hewa na damu mpaka windo anakufa.