Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Mkuu kuna kiumbe mwingne asipokasirika anakuwa mdogo lakn akikasirika anavimba anakuwa mkubwa na hupenda kuingia shimon na anatema sumu nyeupe hyo sumu ikikuingia unaanza kuvimba tumbo kwa mda wa miezi tisa vipi huyu kiumbe humwogopi?Looh asante sana. Kuna viumbe wanatisha jamani mpaka unaogopa