Yajue mambo 10 ya kuvutia kwa Nyoka Anaconda

Yajue mambo 10 ya kuvutia kwa Nyoka Anaconda

Mkuu umesema huyu Nyoka hana sumu, je kuna matatizo gani kama binadamu atatumia Nyama ya huyu nyoka kama chakula?
Mpaka sasa sijafaahamu kama kuna jamii inayotumia nyoka huyu kama chakula lakini wapo wawindaji wa America wamekuwa wakikamata kwaajili ya kuchuna ngozi. Lakini kumkamata nyoka huyu ni kasheshe sio rahisi kiivyo
 
Tanzania pia wapo huko Bariadi Shinyanga na kwa sasa nyoka huyo kaweka kambi Mkoani Dodoma!
Lakini Anaconda hana makengeza na pia yule wa Bariadi ni nyoka wa kawaida lakini Anaconda ni Gujoka
 
Hapo kwenye kubana mawindo yake, wataalam wanasema kuwa huwa havunji mifupa bali huwa anabana hadi kuvuruga mzunguko wa hewa na damu mpaka windo anakufa.
 
Halafu nyinyi! Skuwaelewa kama mnamsema nyoka wa makengeza.. A.k.a anaconda chenge

Tafadhali usinipandikizie dhambi ambayo sijaifanya. Huyo uliyemtaja Wewe ndiyo utajijua nae halafu siku nyingine jaribu kuheshimu mafumbo ya wenzako. Kwani kulikuwa na ulazima gani kutaja jina la huyo Mhusika? Watu wengine mna kiherehere sana.
 
Tafadhali usinipandikizie dhambi ambayo sijaifanya. Huyo uliyemtaja Wewe ndiyo utajijua nae halafu siku nyingine jaribu kuheshimu mafumbo ya wenzako. Kwani kulikuwa na ulazima gani kutaja jina la huyo Mhusika? Watu wengine mna kiherehere sana.
Mbona hata yeye anajitambua kuwa ni anaconda anayesaka mawindo ndan ya Tzania??!!!
Halafu siku nyingne ukome kuniita kiherehere mm sio mwanafunzi wa kike
 
Hivi anaconda naye anaweza kula kibano toka kwa nyegere?
Naikumbuka ile ligi ya anaconda na alligator

Sidhani kama anamuweza chui kama Mleta mada alivyodai na je kwenye maji hawamuogopi mamba maana nimewai kuona mamba anamtafuna anaconda sema mamba walikua wengi but walimshambulia sana
 
Kunadeki ndio huyu huyu alimuua Mamba aisee, bonge la mamba. Mshkaji aliiingiia ndani ya maji chini kabisa kimya kimya halafu ghafla akamfanyia "surprise" ya kibabe Bwana Mamba, kam'bana mbavu hadii mambo kaacha ugali hivi hivi laive aisee. Mungu naye sijui kwanini aliumba kila mtu awe na kidume chake, dah. Interesting

Yule mamba alikua mdogo sana mwenyewe nishawai kuona anaconda anatafunwa na mamba wawili walimtafuna kama hawana akiri nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom