Yajue makaburi ya GATE OF HEAVEN ya mjini Washington

Yajue makaburi ya GATE OF HEAVEN ya mjini Washington

Jackbauer

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
6,067
Reaction score
2,229
wakuu kumekuwa na ubishani mkubwa baada ya mwandishi neville meena kuja na story kuwa ameliona kaburi la balllali na mimi bila hiyana nimeamua kuyatafuta makaburi haya bila hata kupanda ndege na hiki ndicho nilichokipata....hebu na wewe endelea kuchimba kutoka hapa labda tutamkamata muongo wetu!!

Gate of Heaven Cemetery

homepage-GateOfHeaven.jpg

goh_angel.jpg
Gate of Heaven Cemetery is centrally located in a serene, spacious setting in the heart of Montgomery County, Maryland. Formed around the shape of a cross, Gate of Heaven features a variety of sections dedicated to the Holy Family, the Holy Innocents and the Saints, reminding families of a life with Christ beyond death.
The Choice Is Yours
The sacred ground of Gate of Heaven Cemetery offers many burial options. Memorials for below ground burials can be either traditional upright monuments or flush bronze memorials. At Gate of Heaven, the choice is yours. Beautiful Garden Mausoleums also provide the option of above ground entombment in wall crypts enhanced with facades of polished granite. Cremains may be entombed in a niche in the mausoleums or buried in the blessed ground of our cremation gardens.
kwa habari zaidi bofya hapa chini
Catholic Cemeteries of the Archdiocese of Washington: Gate of Heaven Cemetery
Hii ni picha kutoka kwa Meena
View attachment 170531

View attachment 170532

picha hii ni kutoka kwenye website ya gate of heaven
 
Hii ni picha nyingine ya mojawapo ya kaburi ndani ya uwanja huu wa makaburi

cemetry.jpg
 
Duh! Mbona pazuri hivyo! Ni makaburini kweli? Yaani Tanzania nzima hii haina sehemu yoyote inayofikia uzuri wa hapo mahali. Kama makaburini kwao ndivyo kulivyo, kwenye ma-garden kukoje wakuu? A very nice place indeed; usione Balali alikataa kuja "kuchomwa" na jua la bongo kama ni kweli alizikwa hapo mahali.
 
Mh mkuu hayo ni makaburi au kivutio cha utalii? Lakini mbona ni tofauti na Ile picha ya N.Meena? Kuna kitu meena anataka kuwachezea Watz..:.Uzuri Mungu hamfichi nafki...........

BACK TANGANYIKA
 
Duh! Mbona pazuri hivyo! Ni makaburini kweli? Yaani Tanzania nzima hii haina sehemu yoyote inayofikia uzuri wa hapo mahali. Kama makaburini kwao ndivyo kulivyo, kwenye ma-garden kukoje wakuu? A very nice place indeed; usione Balali alikataa kuja "kuchomwa" na jua la bongo kama ni kweli alizikwa hapo mahali.

mkuu hii inatokana na imani kwamba kufa sio kupotea bali ni kuanza maisha mapya!
Back to topic.....naendelea kudodosa kama nitalipata jina la daudi T S ballali katika inventory ya makaburi haya.
 
Kama kweli hapa ndipo lilipo kaburi la balali basi hakuna ubishi picha iliyipo kwenye gazeti la mwananchi iko sawa...jamaa makabur yao hayajasongamana kama hapa kwetu kndoni au kisutu,,,kwa hiyo hoja ya kwa nn kabur la balali linaonekana lipo peke yake haina mashiko kwa picha hizi....
 
Hapo utata bado upo kwenye kaburi...je kilichopo ndani??
 
Kama kweli hapa ndipo lilipo kaburi la balali basi hakuna ubishi picha iliyipo kwenye gazeti la mwananchi iko sawa...jamaa makabur yao hayajasongamana kama hapa kwetu kndoni au kisutu,,,kwa hiyo hoja ya kwa nn kabur la balali linaonekana lipo peke yake haina mashiko kwa picha hizi....

Mkuu kuna shida moja tu..kwamba ukisearch jina la Daudi T.S ballali katika list ya waliozikwa hapo hulipati!
 
mkuu hii inatokana na imani kwamba kufa sio kupotea bali ni kuanza maisha mapya!
Back to topic.....naendelea kudodosa kama nitalipata jina la daudi T S ballali katika inventory ya makaburi haya.

Yes, the records are there! Confirmed, Dr. Daudi T. S. Ballali is really dead, tuache longo longo; Ballali hatunaye tena tangu 2008. Thank you technology for simplifying things; thank you for US and other countries for transparency for putting things online. Otherwise ingekuwa hapa kwetu ingekuwa siri bila sababu za maana kana kwamba kifo ni siri. Taarifa kamili hizi hapa:

Daudi Ballali - Ancestry.com

Au, unaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandao huu: Online Washington Death Indexes, Records & Obituaries ingiza jina la kwanza na la mwisho la unayemtafuta.
 
Mkuu kuna shida moja tu..kwamba ukisearch jina la Daudi T.S ballali katika list ya waliozikwa hapo hulipati!

Ni kweli, kwenye makaburi alipozikwa Dr. Ballali website yao haitoi provision ya online search. Lakini database zingine zinatoa hiyo room. Angalia post yangu hapo juu.
 
Yes, the records are there! Confirmed, Dr. Daudi T. S. Ballali is really dead, tuache longo longo; Ballali hatunaye tena tangu 2008. Thank you technology for simplifying things; thank you for US and other countries for transparency for putting things online. Otherwise ingekuwa hapa kwetu ingekuwa siri bila sababu za maana kana kwamba kifo ni siri. Taarifa kamili hizi hapa:

Daudi Ballali - Ancestry.com

Au, unaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandao huu: Online Washington Death Indexes, Records & Obituaries ingiza jina la kwanza na la mwisho la unayemtafuta.
Inavyoonekana kweli jamaa kafa,huo unaweza ukawa ushahidi,labda sasa tujiulize kifo chake ilisababishwa na nini na labda waliogopa kumzika bongo kwa kuogopa utafiti wa kifo chake
 
[TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: cbc0bF, align: center"][TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: DCD0CF, align: left"]13801 Georgia Ave
Silver Spring
Montgomery County
Maryland USA
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: cbc0bF, align: center"][TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: DCD0CF, align: left"]

[TD="colspan: 2, align: center"] Search Gate of Heaven Cemetery:[/TD]

[TD="align: left"][/TD]
[TD="align: left"] [/TD]

[TD="align: left"]First Name[/TD]
[TD="align: left"]Last Name[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: cbc0bF, align: center"][TABLE="width: 315"]
[TR]
[TD="bgcolor: DCD0CF, align: left"]Cemetery notes and/or description:
The United States Postal Address is Silver Spring, MD. The small area where it is located, is called Aspen Hill, which is adjacent to Rockville, MD.

Please contact the cemetery for plot information before requesting a photograph.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hapo kwenye link aliyotuelekeza mkuu Dudus Daudi TS Ballali anaonyeshwa alizaliwa 1935 na kufariki mwaka 2008 lakini kwenye kaburi la Meena na Mwananchi wanatuonyesha alizaliwa 1942 na kufariki na kuzikwa 2008. Ngoja tuwe wapole tutasikia mengi na hatimaye ukweli utajulikana,.
 
mimi nimemaliza kazi nawaachia wataalamu wa teknolojia na wale waliopo karibu na eneo tajwa!
 
Back
Top Bottom