Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Da! Jackbauer, kwa jinsi makaburi yalivyobanana jamaa asingeliona kaburi la Balali kwa siku 2! Meena ulikuwa na kazi ya ziada!
Duh! Mbona pazuri hivyo! Ni makaburini kweli? Yaani Tanzania nzima hii haina sehemu yoyote inayofikia uzuri wa hapo mahali. Kama makaburini kwao ndivyo kulivyo, kwenye ma-garden kukoje wakuu? A very nice place indeed; usione Balali alikataa kuja "kuchomwa" na jua la bongo kama ni kweli alizikwa hapo mahali.
Mkuu Jackbuer unaweza kutupatia contact details za managers hasa namba za simu ili tuongee noa direct?hii issue ni very serious hatuwezi kuacha iende hivyo,nime chek kwenye website yao hakuna contact details or email address
Yes, the records are there! Confirmed, Dr. Daudi T. S. Ballali is really dead, tuache longo longo; Ballali hatunaye tena tangu 2008. Thank you technology for simplifying things; thank you for US and other countries for transparency for putting things online. Otherwise ingekuwa hapa kwetu ingekuwa siri bila sababu za maana kana kwamba kifo ni siri. Taarifa kamili hizi hapa:
Daudi Ballali - Ancestry.com
Au, unaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandao huu: Online Washington Death Indexes, Records & Obituaries ingiza jina la kwanza na la mwisho la unayemtafuta.
Yes, the records are there! Confirmed, Dr. Daudi T. S. Ballali is really dead, tuache longo longo; Ballali hatunaye tena tangu 2008. Thank you technology for simplifying things; thank you for US and other countries for transparency for putting things online. Otherwise ingekuwa hapa kwetu ingekuwa siri bila sababu za maana kana kwamba kifo ni siri. Taarifa kamili hizi hapa:
Daudi Ballali - Ancestry.com
Au, unaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandao huu: Online Washington Death Indexes, Records & Obituaries ingiza jina la kwanza na la mwisho la unayemtafuta.
Umeniacha hoi..kwamba bongo wanaweza kufanya utafiti wa chanzo na asili ya post Mortem kuliko Maryland alikofia. Wakati kwa wenzetu uchunguzi Huu ni lazima sie ni iwapo ni Kensington ya polisi tena ni kwa mtindo "funika kombe" mwanaharamu apite.."there is no forensic based postmortem done in Tanzania"Inavyoonekana kweli jamaa kafa,huo unaweza ukawa ushahidi,labda sasa tujiulize kifo chake ilisababishwa na nini na labda waliogopa kumzika bongo kwa kuogopa utafiti wa kifo chake
I [FONT=arial, sans-serif]swear to God im going to call officials of this cemetery,na kama huyu meena aliwadanganya Watanzania ajiandae kwenda mahakamani[/FONT]
sisemi kwamba balali yuko hai, hilo sijui, ninachojua ni kwamba unaweza kununua kifo kwa chini ya dola elf kumi na tano, hilo ni na uhakika nalo!
[h=2]KAZI NI KWENU WADAU LIPIENI MPUNGA MPATE MAJIBU
Catholic Cemeteries of the Archdiocese of Washington: Request Genealogy
ABOUT US[/h][h=3]Request Genealogy[/h]The Catholic Cemeteries of the Archdiocese of Washington welcomes your search for burial information at one of our local Catholic cemeteries. All requests must be submitted either in written form, or using the electronic form below. In most cases, our office can provide you with the name of the deceased, the location of the gravesite and whether or not the site has been memorialized. If youd like to search further, we welcome your visit to the cemetery grounds to personally document the information inscribed on granite or bronze memorials.
Kindly fill out all the information in the request form below and submit it to the cemetery office. We ask that your request be as specific as possible. A staff member will contact you to let you know when you can expect to receive the information and whether a research fee ($50 an hour) is necessary for a more in-depth search.
Since our primary focus is the daily care of families who come to bury their loved ones at the cemetery, we appreciate your kindness and patience as we work to fulfill your inquiry in a timely manner. Thank you for your request!
[TABLE="class: form, width: 100%"]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Name of Deceased
Fields marked with an asterisk (*) are required
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 32%"]Last*[/TD]
[TD="width: 68%"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Date of Death
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Month[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Day[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Year*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lot Owner Name[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Name of Cemetery:*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Where Information Should Be Sent
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Full Name*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Address*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]City*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]State*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zip*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Phone*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]E-mail*[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
sisemi kwamba balali yuko hai, hilo sijui, ninachojua ni kwamba unaweza kununua kifo kwa chini ya dola elf kumi na tano, hilo ni na uhakika nalo!