Aisee hii sehemu ndiyo mwandishi alitafuta kaburi siku tatu??
Mkuu labda marehemu aliacha wosia akifa jina lake lisiwekwe kwenye "Browser" yoyote duniani....Mkuu kuna shida moja tu..kwamba ukisearch jina la Daudi T.S ballali katika list ya waliozikwa hapo hulipati!
wakuu kumekuwa na ubishani mkubwa baada ya mwandishi neville meena kuja na story kuwa ameliona kaburi la balllali na mimi bila hiyana nimeamua kuyatafuta makaburi haya bila hata kupanda ndege na hiki ndicho nilichokipata....hebu na wewe endelea kuchimba kutoka hapa labda tutamkamata muongo wetu!!
kwa habari zaidi bofya hapa chini
Catholic Cemeteries of the Archdiocese of Washington: Gate of Heaven Cemetery
Hii ni picha kutoka kwa Meena
View attachment 170531
View attachment 170532
picha hii ni kutoka kwenye website ya gate of heaven
Kama kweli hapa ndipo lilipo kaburi la balali basi hakuna ubishi picha iliyipo kwenye gazeti la mwananchi iko sawa...jamaa makabur yao hayajasongamana kama hapa kwetu kndoni au kisutu,,,kwa hiyo hoja ya kwa nn kabur la balali linaonekana lipo peke yake haina mashiko kwa picha hizi....
meena alisema siku ya kwanza akuliona,ya pili pia mpka akaomba msaada swali je kwa picha izo siku mbili usione kaburi kwel
Hapo kwenye link aliyotuelekeza mkuu Dudus Daudi TS Ballali anaonyeshwa alizaliwa 1935 na kufariki mwaka 2008 lakini kwenye kaburi la Meena na Mwananchi wanatuonyesha alizaliwa 1942 na kufariki na kuzikwa 2008. Ngoja tuwe wapole tutasikia mengi na hatimaye ukweli utajulikana,.
check this link www.thecatholiccemeteries.ca/cemeteries/gate-of-heavenMkuu Jackbuer unaweza kutupatia contact details za managers hasa namba za simu ili tuongee noa direct?hii issue ni very serious hatuwezi kuacha iende hivyo,nime chek kwenye website yao hakuna contact details or email address
Mkuu Jackbuer unaweza kutupatia contact details za managers hasa namba za simu ili tuongee noa direct?hii issue ni very serious hatuwezi kuacha iende hivyo,nime chek kwenye website yao hakuna contact details or email address
Yes, the records are there! Confirmed, Dr. Daudi T. S. Ballali is really dead, tuache longo longo; Ballali hatunaye tena tangu 2008. Thank you technology for simplifying things; thank you for US and other countries for transparency for putting things online. Otherwise ingekuwa hapa kwetu ingekuwa siri bila sababu za maana kana kwamba kifo ni siri. Taarifa kamili hizi hapa:
Daudi Ballali - Ancestry.com
Au, unaweza kutafuta mwenyewe kwenye mtandao huu: Online Washington Death Indexes, Records & Obituaries ingiza jina la kwanza na la mwisho la unayemtafuta.
Gazeti la Mwananchi limejivua nguo....
mmh yaani hiyo sehem ndio kaburi lilitafutwa siku mbili.. imekua. makaburi ya kinondoni