Yahusu wafufuao wafu na misukule

Yahusu wafufuao wafu na misukule

huu nao ni ujinga mwingine kwani ulikuwepo huyo mungu wako akiteremsha? Aliteremsha na ngazi na kutokea wapi? Una tofauti gani na wale unaowashutumu wajinga wanapoamini maji yaweza kuwa damu ya Yesu??
Cyan6

Kwa njia ya ufunuo na sio ngazi ! kwani Biblia ilipatikanaje !?
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujamhukumu mtu jaribu kuchunguza kwanza kama maneno yangu ni ya uwongo nakupa zoezi moja dogo na litakupa matokeo chukua ubani maka mafuta ya nyonyo roho ya kuku kibwelabwezi changanya na majani ya rufambo mzizi wa kabulini kisha twanga kausha uchanganye na hayo mafuta ya nyonyo jipake mengine nenda nayo kanisani kwako kwa hao unaowaaminia kuwa ni manabii ukifika mwaga kidogo mlangoni kwa sili kisha subili mchungaji wako atoke apite pale uone Bomu litakalotokea ila mi simo kwa udhalilishaji utakaotokea kwa mchungaji wako
 
kuna mmoja anajiita Mungu william wanyonyi wa uganda..na watu wanamuabudu kama mungu kweli...wanamuosha..wanamsafisha na kuhakikisha kila siku mungu wanyonyi amekula mana ni mzee hana nguvu ya kujihudumia..kanisani kwake kuna hadi zana za kuhukumu watu siku ya mwisho...watu wazima,watoto wao na wake zao huenda hapo kumuabudu.........kuwa muumini wa haya makanisa inahitaji utahira wa ziada kwa kweli...na siwashangai kabisa hao wanaojiita miungu au mitume...nawashangaa hawa wanaowaamini
 
turashashe jr;
"... Siamini ka ingekuwa ni jengo tu la ile dini nyingine ya majambia limetajwa tu humu hii thread ingekuwa ina endelea"

Hebu tufafanulie ni dini ipi hiyo ya majambia, nyambafu wewe!!
 
Umenikumbusha mchungaji mmoja mwaka 2010 alikuja kwa mzee Wangu apate dawa za mvuto na kuwa na nguvu ktk kanisa lake tena alikuja na wanasiasa 2 ni maalufu sana hapa mjini

basi mzee wangu akawambia kazi zao zote zinafanyika usiku maeneo ya makabulini kunduchi ilipofika usiku wa saa sita tukaenda wote nikiwemo na Mimi mwenyewe..

Basi kufika makaburini ikanyunyizwa dawa kwenye makaburi 2 ya dini yake yakasemwa maneno flani pale ya lugha maalum. Mara yakafunguka ukatoka moto mkubwa sana ukiambatana na radi nusra jamaa wakimbie, basi tukaona watu wanatoka mle na kuuliza kwa lugha ileile aliyoongea mzee wangu,

akawatajia Shida za wale jamaa wote watatu wakaambiwa wavue nguo pale pale wasogee, basi wakafanya kama walivyoelekezwa na wale watu wakaanza na yule mchungaji kwa nguvu alizokuwa anataka akapewa ila kwa makubaliano maalumu, na wale wengine ambao mmoja ni mbunge maarufu wa upinzani na mwingine sasa ni waziri wakafanyiwa vile walivyoomba, kazi ikawa imekwisha.

Mchungaji ana kanisa bagamoyo road linajaza huwa nawaonea huluma waumini mana wanaabudu wasichokijua na nikikutana nae nikumtania mana najua nguvu sio ya mungu yeye huniambia namshukulu malehemu mzee wako nisingekuwa tajiri kama sio yeye

wachà porojo weka ushaidi!
 
Siku hizi wanafanya na uganga kabisaa yaani usiombe ndugu yako akitekwa na haya makanisa utajuta tena akiwa mwanamama hata watoto watajiju . Mama anaondoka home kwake asubui na kurudi usiku eti yupo kwenye huduma hivi hao watumishi hufikiri kina mama hao hawana familia jamaniiiiiiii.

Imani imeingiliwa siku nyingi sana masikini utakuta watu wameambiwa watoe pesa watabarikiwa hawajiulizi pesa zao anachukua nani . Je ni wapi unaweza nunua baraka hawajiulizi wametoa kiasi gani cha fedha kilichowawezesha leo kuamka. Wewe ukiambiwa toa ubarikiwe waambie una mahindi uone kama watapokea. Halafu wakiona familia yenye ahueni hapo utaombewa hadi nyumbani kwako ukikohoa tu mtumishi katia team .

Angalia wasio na uwezo hata wa kumnunulia mtumishi soda kama wanapata wa kuwahudumia hata wakitokea ni maombi ya kutimiza wajibu. Biblia imesema mtawatambua kwa matunda yao lkn wao wamejificha kwenye kipengele eti usimseme mtumishi wa Bwana. Basi ukijaribu kuzungumza jmn hapa tunapigwa changa la macho utasikia ushindwe nasijui nin. Ingekua vibaya kuzungumza mapungufu yao je Peter alivyomkana Yesu ingeandikwa au mfalme Daudi alipokosea je ingeandikwa. sasa hawa ni watumishi wepi wanaowazidi waliowatangulia khaa . Tusomeni hivi vitabu sis wenyewe
 
Kabla hujamhukumu mtu jaribu kuchunguza kwanza kama maneno yangu ni ya uwongo nakupa zoezi moja dogo na litakupa matokeo chukua ubani maka mafuta ya nyonyo roho ya kuku kibwelabwezi changanya na majani ya rufambo mzizi wa kabulini kisha twanga kausha uchanganye na hayo mafuta ya nyonyo jipake mengine nenda nayo kanisani kwako kwa hao unaowaaminia kuwa ni manabii ukifika mwaga kidogo mlangoni kwa sili kisha subili mchungaji wako atoke apite pale uone Bomu litakalotokea ila mi simo kwa udhalilishaji utakaotokea kwa mchungaji wako

duu uongo wa waganga unaanziaga hv sasa mtu roho ya kuku ataitoa wapi mkuu?😕:thumbup::thumbup:😕
 
Nafikili unasema uonga oke kiutaalamu moyo wa kuku sisi ndio tunaita roho nafikili utakuwa umenielewa mpaka hapo@youngd DiCaprio
 
Wewe mtani wangu acha tu,
Wapo watu hata leo hii wanaamini kuwa wakienda
kwa gwajima mfu wao atafufuka.
Hata wasomi wazuri wa Biblia usishangae unapoambiwa
kuwa wakifiwa wanapeleka maiti huko ili ikafufuliwe,
cha ajabu ni kwamba wanarudi na mfu wao.

Hili la mapepo, hawa wahubiri huwa wanatumia mbinu moja
anapokuwekea mikono anakupush nyuma kiasi kama hauna
balance ni lazima utaanguka tu.

Na ndiyo maana akina mama wengi ndio wanaanguka
si hatuna nguvu sana.

mkuu umesema kweli, niliwahi pita mbele kuombewa ile mchungaji kanishika kichwani alinisukuma kiasi kwamba nisingekuwa na balance ningeanguka!!

Nikiwaza sana hivi ikitokea nimeangukia kichwa sakafuni ingekuwaje? Toka siku hiyo sitaki kusikia upuuzi unaoitwa maombi!!
 
Inawezekana ukaona ni matapeli kwa kuwa unakuwa umetumwa kitu usichoweza kukipata ila nanyi Wateja kuna vitu unakuwa unahitaji kimazingila ya kawaida huwezi kufanya kazi kirahisi ni lazima vitu vya ulimwengu wa roho vipatikane mfano kama hao manabii wanasiasa wafabiashara hivyo usiseme ni utapeli ikiwa kazi yako inahitaji kuingia ktk ulimwengu mwingine ndugu
 
asante kwa somo hlo ndugu ila.still siamin katika waganga na uganga coz.wanajifanya kuwapa watu utajir angali wengi wao ni mafukara bado haingii akilini
 
Jaribu kuchunguza ukikuta mganga masikini sana basi endelea kufanya utafiti wako pengine kuna mari atakuwa kazificha watu wasijue na kuogopa kwenda kwake mana mi naamini mganga wa kweli ana njia nyingi ambazo hela huwa inaingia ukiachana na wale matapeli wenye mabango kwa mganga aliyelithi kazi kuna pesa nyingi za kimajini huwa anapata hivyo kamwe hawezi kuwa masikini labda aendekeze anasa ambazo kwenye uganga hutakiwi kuzifanya
 
Mtaani kwetu lilikuja kanisa la mungu bendera,

acha wamama walivyopapatikia,
wanaambiwa wapeleke mafuta ya vaseline
ili wakapwe eti kuondoa mikosi,
sasa uliza hayo mafuta wanapakwa wapi, ni aibu.

1425113982076.jpg 1425113931253.jpg 1425113891243.jpg
 
kweli kabisa manake kama unaambiwa allah ni mungu nawe hujawahi muona you are imbesile

Bikira Maria.JPG

'Mama wa Mungu huyo anateremka na watoto wanashuhudia' ....mafundisho ya Kanisa Cyan6
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom