Yahusu: Majini mahaba...

Majini ndio mapepo kama aitwavyo shetani na ibilisi;asiyetamba mbele ya jina la Yesu na damu ya Kristo !
[UFUNUO 12:7-11
 
Majini wana vyeo kama vya jeshi na wanaishi katika mfumo wa jeshi.
[WAEFESO 6:12]
Jini linaogopa askari wa Kristo Yesu.
 
Elimu ya mapepo ni pana kulingana na imani za watu ! Binafsi,naamini 100% kuwa, majini si kitu Kwangu kwa jina la Yesu !
 
Usiwaogope majini mahaba wala waganga na wachawi wanaowatumia majini au pepo katika kazi zao kwa leseni!
[ISAYA 47:8-13]
 

Kwa mafundisho nlioyaskia mimi ni kua majini mahaba wana njia kadhaa za kumuingia binadam mojawapo ni ile kama watu tunaokutana nao njiani kwenye maisha ya kilasiku.wengine sio watu.wanakua wamevaa sura tuu za kibinadam atakuomba urafiki ukadhani unajipatia mchumba unagawa no zako kitendo cha wewe kukutana nae kimwili maramoja tuu haumwoni tenaa.anakua kama amefanya maagano na wewe/mmefunga ndoa.wewe ndo unakua mume wake/mke wake.na ndio maana kupata wako kihalali inakua vigumu kwasababu hataki kukushare.ukijitahdi sana kikawaida kua na mpenzi mpaka mnataka kuoana anaweza kukufanya umuone huyo mpenzi wako hafai ana kasoro kibao yani unajishangaa imekuaje nilimkubali mwanzo,unaamua kumuacha mwenyewee.ndo maana wengi wanaliaga wanaachwa for no reason kumbe wamevamia ndoa za kijini.au inaweza kua vise versa,kama ni mdada na uzuri wako woteee hauonekani kwa wakaka,like umepakwa mavi.hukubaliki.hata ufanyaje hauattract right suitors..kama hujui utakua unajililia mwenyewe unasononeka ila cha kufanya ni kupiga goti tuu na kuomba kibali kwa baba.(Mungu)tena kiuhakika sio kilelemama.lasivo utaiziskilizia ndoa bombani,utabaki kucheza kwaito na skeleuu wedding za wenzako,mafanikio hayatakuja maana spiritual husbands hawapendi ufanikiwe,natumai nimeeleweka.
 
Jini mahaba ni pepo uasherati; ni waanzilishi wa mchezo wa kukoroga mavi (USHOGA)tangu Sodoma mpaka Roma !
[YUDA 1:6-8]
 
Mitume wa leo wako wapi kama Paulo kukemea ndoa ya jinsia moja za kukoroga mavi kwa watu wazimaa ?!
[ROMANS 1:26-27 KJV]
 
Jini mahaba linamfanya mtu mzima kuwa ni aina ya mwendawazimu wa kufurahia kukoroga mavi.
KATAA ZINAA KWA JINA LA YESU !
 
"wakristo hatukupewa huduma ya kupunga majini(pepo) bali kuyatoa kila aina ya majini ! [luka 10:17-20; marko 16:17-20 ].
 


UKIWA NA DALILI ZIFUATAZO BASI WEWE UNA MASHEYTWANI WA KIJINI.



Leon sijaulizwa swali ila naomba nitoe faida kwa wanaofatilia mada zangu hata kila mtu ajielewe.
Watu wengi sana wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo ambayo wao wanashindwa kujua ufumbuzi wake, leo mimi nitataja dalili hapa ili mwenye dalili hizo ajijue kuwa anasumbuliwa na Masheytwani ya kijini.

HATUA YA KWANZA KABLA YA KUHISI UNA MAJINI HAKIKISHA UMEENDA HOSPITAL NA UMEFANYA TAKRIBAN VIPIMO VYOTE ALIVYOSEMA DAKTARI LAKINI BADO HUJAPATA UFUMBUZI WA TATIZO LAKO BASI UJUE HUENDA UNASUMBULIWA NA MAJINI

DALILI YA (1) Kuumwa kichwa upande mmoja, masikio, meno, mgongo,kiuno na kifua kubana.....

2) Kuumwa tumbo chini ya kitovu kwa akina mama, na kwa kina baba( JAMAA KUKOSA NGUVU) wakati unamuhitaji mkeo..........Nikisema Jamaa nafikiri nimeelewekwa kwa watu wazima sio vizuri kutaja kuna watoto huku.

3)Moyo kwenda mbio na kushtuka bila sababu kisha mwili husisimka.

4)Kupatwa na kizunguzungu pamoja na wenge( wenge yani unakuwa wakati fulani hujielewi elewi ama vituko fulani kuna saa unaweza kutafuta kitu sana ukawa hukioni lakini gafla wakiona mezani na wakati ulishatafuta)

5)Kuumwa na tumbo sana kwa kina mama wakati wa hedhi na kutoa damu nyingi sana ama damu chache
, na wakati mwingine hedhi huja mfululizo hata mwezi mzima...........hii pia huenda ikawa ni ISTIHADHA.......na pia huenda ikawa ni dalili za masheytwnai wa kjini............hakikisha unachunguza vizuri.

6)Wakina mama kupata maumivu saa ya (tendo la ndoa)
na pia hukosa hata hamu ya tendo hilo la ndoa Sex......na kwa upande wa wanaume.....unaweza kutaka kufanya tendo la ndoa Sex mkeo ukatafuta njia hadi ukachoka

7)Kutembea tembea vitu mwilini kama vichomi fulani.

8)Kutingishika bila sababu na kutetemeka bila sababu na wakati mwingine kulia bila sababu.

9) Hasira za gafla na mara kwa mara hasa kwa wanawake............Usipoangalia vizuri unaweza kumpa talaka mwenzio kwani huwa wanakuwa wakali sana na macho yao ukiwaangalia huonyesha msimamo wa hali ya juu.

10)Kuhisi uzito wa mwili umeongezeka....kuna wakati ukikaa pia unajihisi hauko peke yako.unahisi kama kuna mtu lakini humuoni na wakati fulani unaweza kuona kama kitu fulani kimepita gafla

11) Chuki ndani ya ndoa na kutamani kuachwa ama kumuacha.

12) Kufunga hedhi bila ujauzito, kuota unazaa, au kunyonyesha au kubeba mtoto, na wakati mwingine ukiwa mja mzito kisha ukaota tu umekabidhiwa mtoto basi mimba huanza kuvuja na kuharibika.......Pia kuharibika kwa mimba baada ya kuota unananihii na mtu anaetisha ama kijana mzuri sana wa sura..pia kuharibka mimba bila sababu ya msingi

13.) Kuvurugikiwa na mipango ya kuoa, na kwa wanawake kila anaekuposa basi mambo huenda vizuri kisha yanaishia hewani.......PIA kujihisi unaingiliwa siyo ndotoni

14)Kuhisi unasimamiwa na mtu mbele yako, nyuma yako, pembeni na hata ulalapo na kua na hofu kubwa sana juu ya hilo.wakati mwingine ukaogopa hata kukaa peke yako

15) Kupatwa na usingizi wakati unasoma Qur an au unasoma Biblia, ama kuisikiliza, lakini ukisikilza music usingizi hauji au ukisoma story za shigonga husikii usingizi lakini ukishika tu quran au biblia basi unapata usingizi hadi unakoroma.

16) Mwanamke kupenda kujipamba sana awape nje ya nyumba yake na hajipambi mbele ya mume wake, pia kupenda sana starehe kujiona mzuri na wathamani sana.

17) Kuota unafanya ibada zisizo mwelekeo, kuota uko mbinguni ama mwezi unakusujudia, kuota umezingirwa na maadui, mijuzi, nyoka,kifo,jeneza,kuota unakimbizwa na panya au mtu alieficha sura yake.

18) Kugombana na kuwachukia watu wa dini nk Wachungaji, Masheik ama wakina mama walioshika dini sana, kukimbia kusomewa Qur ani au Biblia ama kusikia adhana unakuwa mkali sana.

19.Kulia, kucheka sana na kupiga kelele usingizini

20.Kuota kufanya ama kufanywa tendo la ndoa kawaida ama kinyume na maumbile kwa mwanamke ama mwanaume, kisha ukiamka unajihisi kweli umefanyiwa au usijihi, pia huenda ukamuota anaekufanyia ni mtu unaemjua, aidha kazini, shuleni, jirani au rafiki, wakati mwingine hata mzazi wako au mtu aliekufa.

Ukiota sana ama kuwa na dilili hizi tafadhali wahi haraka kwa Sheikh au Mchungaji akuombee ukiwa na shida mbali mbali au maswali yanayokukiza wasiliana na mimi kwa njia ya Email nitumie baruwa ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza pia kunitembelea Blog yangu bonyez hapa.
VYAKULA BORA NAFAIDA ZAKE MWILINI
 

ahsante sana mkuu, umenifumbua macho pakubwa sana!

ila kwanini tatizo hili linaikumba sana mikoa ya pwani?

hiii ndiyo dalili kwamba ni makao ya majini ?
 
"wakristo hatukupewa huduma ya kupunga majini(pepo) bali kuyatoa kila aina ya majini ! [luka 10:17-20; marko 16:17-20 ].

karibu sana katika mjadala mkuu, shukrani sana kwa mchango wako mzuri,

luka 10:17-20 inasema hivi

[SUP]17 [/SUP]Wale wanafunzi sabini na wawili wakarudi wakiwa na furaha. Wakamwambia Yesu, “Bwana, tukilitumia jina lako, hata pepo wanatutii!” [SUP]18 [/SUP]Akawajibu, “Nimemwona shetani akianguka kama radi kutoka mbinguni. [SUP]19 [/SUP]Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru. [SUP]20 [/SUP]Lakini msifurahi kwa kuwa pepo wanawatii, ila furahini kwa kuwa majina yenu yamean dikwa mbinguni.”

habari njema sana hii kwetu wanadamu;

marko 16: - 17 hadi 20 inasema



[SUP]17 [/SUP]Yesu alipoanza tena safari yake, mtu mmoja akamkimbilia, akapiga magoti mbele yake akamwuliza, “Mwalimu mwema, nifanye nini niurithi Ufalme wa milele?”

[SUP]18 [/SUP]Yesu akamwambia, “Mbona unaniita mwema? Hakuna ali yemwema isipokuwa Mungu peke yake. [SUP]19 [/SUP]Unazifahamu amri ‘Usiue, Usizini, Usiibe, Usishuhudie uongo, Usidanganye. Waheshimu baba yako na mama yako .”’
[SUP]20 [/SUP]Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”




mkuu naomba ufafanuzi katika hiki kifungu...
 
memgine ni mauza uza ya hofu tu.

Utaingiliwaje na kitu hakina mwili?

mbona nasikia wenyeji wanasema eti yanavaa miili ya kibinadamu?

kiasili ilitakiwa tusiyaone mashetani, majini etc, sasa inakuwaje tena majini yanaonekana kwa binadamu?

kwa wakazi wa Tanga, mnaweza kutueleza vibwengo ni nini? kwanini vionekane kwa wanadamu?.. mimi nilishawahi kuviona hivyo vibwengo mwaka 2001 nikiwa primary Tanga vijijini! hmm! usiombe ukutane navyo!
 

Jesus Christ!

hivi ni nani aliyeyapa ruhusa majini kuvaa mwili wa mwanadamu?

mkuu nimestushwa sana hii habari! inakuwaje majini yanunuliwe e-bay? naomba ufafanuzi tafadhali!
 
Jini mahaba au kiumbe chochote kiitwacho jini ni malaika walio muasi mwenyezi Mungu Isaya 14:12 pia soma waefeso 6:10-14 Mara nyingi huja kwa wanadamu kwa sura ya kibinadamu maana uwezo walio pewa Mungu hakuunyang'anya aliwaachia.
Tuba
Ni kumpokea YESU Kristo kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako ndio suluhisho la matatizo hesabu 23:23 hakuna uchawi katika Israel wala uganga katika yakobo. Maana yake kwa wanao mwamini Mungu hakuna uchawi wala nguvu yeyote ya Giza itakayo pambana nawe. Soma yohana 14:1-6
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…