Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,068
Very very sorry kwa hili tatizo LA kiumeni - KUJAMBISHWA.
Kuna wanaume wanaishi kwenye mateso makubwa na sidhani kama hii kitu ina tiba.. Yaani ni kama vile mate yanavyokujaa mdomoni mtu akila kitu chenye uchachu... Sasa hii inahusika na kiumeni zaidi pale mtu anapojambisha ama honi ya gari, sauti husika hupaswa kutafsiriwa kwenye oblongata na kuelekezwa sehemu sahihi lakini wenye tatizo hili tafsiri huwa mis located na kuipeleka direct kwenye korodoni.
Yaani ile sauti badala ya kusikika kwenye ubongo inasikika kwenye mubashara wa kiumeni na kuathiri via vya uzazi hivyo kumfanya mlengwa muathirika Ku vibrate kila anapoisikia sauti husika!
Nimeshindwa kwa hakika kujua connection iko wapi kati ya honi ama kujambisha na hisia za sauti husika kwenye korodani (kende) kiasi cha kumpa mhanga mateso yote yale.
Natumai wahenga watatujuza [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app