Mbona picha ipo hapo mkuuTuma picha tukuone[emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo umenena mkuuNew ID, Old Member
Tuendelee na maisha.
Kanyaga mafuta mwendo mdundo tusonge mbele mkuuUgeni ni kwenye id mpya tu ila ww mwenyeji
Ahsante mkuu, nmehamia humu.Karibu mgeni kutoka fb
Niko nyumbannnKaribu jisikie upo ugenini
Poa mkuu, sivui buti .karibu sana ila usitembee peku peku huku
Ahsante mkuuKaribu sana JFmjukuu wetu hapa kwa GT.
Shukrani #bbcUmeandaliwa mapokezi mazito, njoo.