Yahusu kufuta kauli

Taifa la ajabu sana hili huu ujinga duniani unapatikana hapa!!! Ashakum si matusi si ajabu kiongozi wa Taifa fulani alimwambia mtawala fulani anaongoza maiti hii kauli ya miaka ya 70's huko hadi leo inaishi.

Bila ya shaka yoyote nakubaliana na comment hii.
 
Afu mshana mbona unakuwa msahaulifu hivyo nawe?
Au mpaka waseme kuwa hizo pesa zilikwenda lipa deni ili bombadia lije?
Aisee mnakera kweli ....mmekuwa ambiliki eti.
Hutaki kuelea angani na boom - badia au ..he..nyie wananchi vipi mbona mnasahau kama kuna wenye nchi pia ??
Kelele mingiiiih..aagh!
 
Huyo jamaa kiboko!Kwa hiyo ameona "nusu ya watanzoo ni wapambaff"?Sifuti kauli wala sitikisi kichwa kama "plopesa" Assad.
 
Tatizo lako Mshana Jr ndugu yangu unajua kila kitu ukianzia ulozi hadi uhasibu. Tofautisha masuala ya fraud (wizi, kutoonekana) na udhaifu wa mfumo simamizi (control weaknesses) ambayo hii ya pili ukija kwenye uhakiki kitu utakikuta ila hakijashughulikiwa katika utaratibu au mfumo unaosimamia kiasi kwamba udhaifu huo unaweza kuleta ubadhilifu.

Haya ni masuala ya kihasibu na ukaguzi wa vitabu vya uhasibu, utawala, na mfumo wa usimamiz wa shughuli za kihasibu.
 
Kwa namna mnavyokwama hata kunyoosha maneno mnasikitisha kuutetea wizi.Jikakamueni "labda" mtaeleweka na wasojua huo "uhasibu"!Poor you!Profesa Assad alivomjibu jiwe alikaa chini na kutikisa kichwa.Ulielewa anakupa ujumbe gani?
 
Kwa namna mnavyokwama hata kunyoosha maneno mnasikitisha kuutetea wizi.Jikakamueni "labda" mtaeleweka na wasojua huo "uhasibu"!Poor you!Profesa Assad alivomjibu jiwe alikaa chini na kutikisa kichwa.Ulielewa anakupa ujumbe gani?
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mnachanganya mada.
Mmeshaambiwa zilinunuliwa hati fungani sasa aliyetumwa kununua akapewa zilizokomaa sana akamletea mpishi bila kumjulisha kuwa kapigwa kanyaboya gengeni.
Mpishi akachemsha akachemsha kumbe angeambiwa zimekomaa sana angeweka magadi,chilisosi na mdalasini.
Sasa kuni zikaisha na mvua ikanyesha ikabidi watoto walale njaa.
Mpaka msimamizi wa familia CAG anakuja asubuhi mpishi akasahau kumwambia kisa cha hatifungani.
Mjadala nimeufunga kwa sababu sasa hivi mboga zitakuwa chainiz na sukuma mwanzo mwisho.
 
😳 😳 😳 😎 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 😎 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…